Inawezekana kweli?
Asante kwa somo.....Kinga iliyo salama ni kuutambua mzunguko sahihi japo unaweza kuvurugika kutokana na sababu mbali mbali.
Kinga zingine zina madhara ikiwemo ajali unayoisema.
Kama kweli mtu hujaamua kulea basi nyegezi isikuzidi akili
walimdunga dawa za uzazi wa mapango huyo sokwe jike lakini akapata mimba kama kawaNdio namsikia kwako....alifajaje?
Kuna watu wajinga sana,hivi inakuwaje mpo kwenye ndoa halafu hamna mpango wa kuwa na familia ?Aku akawa hajui mimba ya nani?
Mumewe kamuuliza anampango gani nayo? Ukizingatia wao kama wao hawajajiandaa kuwa na familia….
Kuna watu wajinga sana,hivi inakuwaje mpo kwenye ndoa halafu hamna mpango wa kuwa na familia ?
Kama habari ni ya kweli acha wavune walichopanda,wajinga sana hao watu.
Wajinga hao,hivi mpaka uwe na familia unatakiwa uwe na uchumi wa kiwango gani ?Unagombeza badala ya kutoa Ushauri?
Hawako sawa kiuchumi kuanzisha familia.....
Ndio yakatokea hayo
Aolewe mara mbili
Aende akapime DNA....ila itakuwa ya Dr tu.Hajui ni ya nani sasa....
Yes....wapo.Swali langu liko nje kidogo ya mada kuna wanandoa wanaoana afu hawako teyari kuanzisha familia??
Daktari + Fundi hawana uwezo wakulea mtoto kisa mkopo wa vyuo??
Aku atakua na shida ya uzazi hawezi kuwa amedate na mwenzie miaka yote hiyo tangia shule asimpe hata mimba...!hii itakua ya joe tu [emoji57]
Yes....wapo.
Umeolewa? Umechumbiwa?Kumbe
Umeolewa? Umechumbiwa?
Kwa namna ya pekee jimbo lipo wazi, sio?Hapana
Kwa nini usiseme usaidiwrje kuliko kuja AKU? AKU aka bbade umezingua sana.Habarini wana jamvi…
Leo ningeomba mawazo yenu kwenye hiki kisa..ni mkasa wa kweli…nitatumia majina yasiyo rasmi.
Aku na Sam ni wapenzi tangu wakiwa shule ya sekondari, walifanikiwa kumaliza shule na kwenda vyuo tofauti kila mtu na fani yake…Aku akasomea Udaktari na Sam akasomea Ufundi.
Miaka ikapita wakamaliza, wakaja kuoana wakaajiriwa.
Kutokana na mikopo ya chuo hawakutaka kunzisha familia mpaka iishe.
Aku akiwa kazini akakutana na daktari mwenzake mzoefu kwenye kazi akawa kama ndio mwalimu wake kwa kipindi kile…bila kujua Aku akajikuta kwenye penzi na huyu daktari….(Joe)
Aku alimpenda Joe sababu alikuwa ana akili za kiutu uzima na mwenye kujua sana mapenzi kulingana na mume wake (Sam).
Bila kusahau kiuchumi Joe alikuwa vizuri.
Siku zikaenda hatimaye Aku akapata mimba.
Alichukua kipimo nyumbani akakitupa kwenye ndoo ya matakataka kikiwa kinasoma kuwa ni mjamzito, bila kujua mumewe alikiona pia.
Kazini Aku aliweza kujifanyia scan ya picha na kujua ukweli kuwa ni mjamzito, bahati mbaya Joe alikuja kujua kwa kuziona zile picha bila Aku kujua.
Aku akawa hajui mimba ya nani?
Mumewe kamuuliza anampango gani nayo? Ukizingatia wao kama wao hawajajiandaa kuwa na familia….
Daktari Joe naye yuko tayari hata kesho kuoana na Aku….
…maji yameshamwagika….
Tunamshauri vipi Aku.
Kwa namna ya pekee jimbo lipo wazi, sio?
Kuna mdogo wangu anatafuta mke mzuri kama wewe.