Mume na mke kibaruani

Watafanyaje sasa akili zao ndo zimekwamia hapo?
Kuimba kwenyewe hawajui
Bora hata wangefungua duka wakauza
Halafu akili zao zinafanana hawa hahaha..so usitarajie kitu tofauti hapo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mungu amuepushe kwakweli labda watabadilika tabia zao.
Umeona video ya ambarutty anafanyiwa interview eti akawa anaongea kingereza. Mimi nilifikiraga wakitoka jela wataachana na mambo haya ya kiki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watafanyaje sasa akili zao ndo zimekwamia hapo?
Kuimba kwenyewe hawajui
Bora hata wangefungua duka wakauza
Halafu akili zao zinafanana hawa hahaha..so usitarajie kitu tofauti hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
Ujinga huu unahamasishwa na hizi online tv zinazoibuka daily. Zisingekuwepo tusingekua tunaona vituko vya watu wanaoibuka kila siku
 
Natamani nimuimbie Mama Gaude na yeye awe anakatika sakafuni kama hivyo, lakini sijui kuimba.
 
Write your reply...naona jamaa kashatamani kitobo cha asali.. hapo Kama hakumtia ndole huyo mkewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…