Masikini_Jeuri JF-Expert Member Joined Jan 19, 2010 Posts 6,829 Reaction score 1,303 Feb 24, 2010 #21 Magulumangu said: mie simo maana hayo mambo ni wawili tu wanayajua...lkn pia midume sometimes huanzisha mambo hasa ikinyimwa MKATE WA UZIMA Click to expand... Msinyimane! Imeandikwa!
Magulumangu said: mie simo maana hayo mambo ni wawili tu wanayajua...lkn pia midume sometimes huanzisha mambo hasa ikinyimwa MKATE WA UZIMA Click to expand... Msinyimane! Imeandikwa!
Masikini_Jeuri JF-Expert Member Joined Jan 19, 2010 Posts 6,829 Reaction score 1,303 Feb 24, 2010 #22 Bwabwa; hii ni dalili ya kupungua mapenzi baina ya wanandoa; Mume anapaswa kumhurumia mke na si busara hat kidogo kumkaripia
Bwabwa; hii ni dalili ya kupungua mapenzi baina ya wanandoa; Mume anapaswa kumhurumia mke na si busara hat kidogo kumkaripia
Bigirita Platinum Member Joined Feb 12, 2007 Posts 16,039 Reaction score 7,465 Feb 24, 2010 #23 waongee sasa wakati wameongea usiku mzima.