Melubo Letema
JF-Expert Member
- Apr 1, 2020
- 416
- 414
Wanariadha Faraja Lazaro Damas na Magdalena Shauri ambao ni Mume na mke na ni waajiriwa wa (JWTZ) wameshinda mbio za JKT Half Marathon 2023, Zilizofanyika tarehe 25 Juni 2023, jijini Dodoma.
Faraja na Magdalena walishinda mbio hizo za kilomita 21.1 (21K) kwa muda wa (1:03:45) na (1:11:22 ) na Kujinyakulia Kitita cha Shilingi milioni tatu kwa wote wawili.
Faraja na Magdalena walishinda mbio hizo za kilomita 21.1 (21K) kwa muda wa (1:03:45) na (1:11:22 ) na Kujinyakulia Kitita cha Shilingi milioni tatu kwa wote wawili.