Mume na Mke Washinda Mbio za JKT Half Marathon 2023

Melubo Letema

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2020
Posts
416
Reaction score
414
Wanariadha Faraja Lazaro Damas na Magdalena Shauri ambao ni Mume na mke na ni waajiriwa wa (JWTZ) wameshinda mbio za JKT Half Marathon 2023, Zilizofanyika tarehe 25 Juni 2023, jijini Dodoma.

Faraja na Magdalena walishinda mbio hizo za kilomita 21.1 (21K) kwa muda wa (1:03:45) na (1:11:22 ) na Kujinyakulia Kitita cha Shilingi milioni tatu kwa wote wawili.


 
Naona akina Neema na Sule ingawa hawavumi, lakini wamo!
 
Huyu failuna ndio taifa linamtegemea kumbe hakuna kitu
Mwanariadha kuna kitu kinaitwa “injury” haionekani kwa macho, ufanisi unaweza kupungua kutokana na changamoto za ki afya
 
Hao wako vizuri sana,maana hata muda waliokimbia ni mfupi na hawakupishana sana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…