Mume na mke watupwa jela miaka 30 kwa kukutwa na kilo 11 za Heroine

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Nimesoma gazeti moja la jana nikasikitika sana sana.

Kuna mume na mke wamekamatwa na heroine 11 kg, wamepigwa wote miaka 30 jela. Nikakumbuka kuna mchina alikamatwa na madawa akapewa adhabu ya faini sikumbuki kama alirudishwa kwao ama lah.

Wauza madawa kazi mnayo, acheni ndio suluhisho.
 
Picha zao tafadhar
 
Back
Top Bottom