Nimesoma gazeti moja la jana nikasikitika sana sana.
Kuna mume na mke wamekamatwa na heroine 11 kg, wamepigwa wote miaka 30 jela. Nikakumbuka kuna mchina alikamatwa na madawa akapewa adhabu ya faini sikumbuki kama alirudishwa kwao ama lah.
Wauza madawa kazi mnayo, acheni ndio suluhisho.