Mume na mkee

bigboss1

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2015
Posts
319
Reaction score
195
Mamboo zenu
Jamaa mmoja alilewa kwenda nyumbani akavua viatu vyake akalala kidogo akamgeukia mke wake akamwambia baby amka tufanye haraka ili niwahi kwenda nyumbani mke wake akamjibu akiwa kaamka gafla akasema ngoja niharakishe [emoji3] [emoji2] [emoji1] kurudi nyumbani kabla mume wangu hajaja akafungua dirisha akachukua nguo zake akaruka aliponyanyuka kutoka chinii ya dirisha kuangalia akakuta yupo dirisha la chumbani kwake .
Ikabidi akae hapo chini kutafakari marA mme wake kamuita mke wangu rudi ulale upo nyumbani ulikuwa unaenda wapi kwa haraka hadi unaruka dirishanii?
Ilipofika asubuhi wote wakapotezea kwa maana wote ni wanamichepuko.?
 
Hongera HIV kwa kupata wateja wapya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…