miss linga
Member
- Apr 4, 2012
- 17
- 1
Huyo mtoto wa 'nje' ni wa jinsia gani? Samahani lakini
nikupe pole sana kweli inauma japo wanaume ndio sisi huyo jamaa simuaminifu kwako hata kidogo ila sikushauri umuache wala usikatae kumpokea huyo mtoto na kumpenda wakati atakapoletwa umlee au kutambulishwa kwako najua inauma na pia najua uamuzi unaoweza kuupata au ushauri kwandugu au marafiki nikuondoka na kumuacha.ila mimi nakushauri uwe mvumilivu umuombe mungu ili uweze kulea hao wanao tabia haina dawa ila ongea nae taratibu nakumbusha hali ya magonjwa ilivyo sasa huenda akarudi nyuma mkumbushe pia kua endapo akiukwaa watoto nani atawalea na ingali bado wagogo?usitumie jazba kuongea nae pia onyesha utayari wa kumsamehe kwa kosa hili la kwanza na kumpokea huyo mtoto ila kwashart la yeye kuvunja uhusiano wa kimapenzi na huyo mwanamke ubaki uhusiano juu ya mtoto na sivinginevyo.baada ya hapo tafuta ukaribu na huyo mwanamke muwe marafiki hii itakusaidia pale patakapokua na mchezo mchafu utaugundua kirahsi zaidi
Mmh cjui wanaume wakoje,i had the same problem,akili yangu yote apa inanituma kuondoka,ila mshirikishe mungu zaid
wa kiume
Habari ya kazi wa JF?mimi ni mwanamke wa miaka 28 nimeolewa na nina watoto wawili wa kike wa kwanza ana miaka 6 na anaemfuta ana miaka 4,juzi nimegundua mume angu kazaa mtoto mwingine na mwanamke mwingine mtoto ni mdogo kuliko wangu,nimechanganyikiwa jamani sijui ata la kufanya,ni bora ata huyo mtoto ningemkuta,nimechoka kuanzia akili mpaka mwili nyumba naiona chungu,naombeni ushauri wenu jamani nifanyeje mwenzenu