Mume uliyekuwa unaomba huyu hapa!!

Mume uliyekuwa unaomba huyu hapa!!

Mlima meru

Senior Member
Joined
Dec 30, 2012
Posts
114
Reaction score
20
Anatakiwa msichana aliye tayari kuanza maisha

  • 1. Awe na umri kati ya miaka 30 na 35
  • 2. Awe na Elimu ya Chuo kikuu na anafanya kazi (binafsi au kuajiriwa)
  • 3. Awe anaishi Arusha
  • 4. Awe presentable..preferebly mweupe au maji ya kunde
  • 5. Awe anapenda watu na mwenye huruma hasa kwa watoto walio mazingira ngumu
  • 6. Awe mchamungu??
  • 7. Awe na mwili wa wastani ila akiwa na African figure ni added advantage
  • 8. Awe tayari kupima afya kabla ya kuanza mchakato
  • 9. Akiwa natural ni added advantage

Wasifu wangu nitautoa baadae ila kwa kifupi; Nilipata masoma yangu Nchni Misri ila nimezaliwa na kukulia hapa nyumbani.
(Kwa watakaoleta mzaha, watakuwa wanajipotezea muda wao kwani nita ignore)
unaweza kuni pm wakati wowote,....
 
Hivi hizi degree mnatakaga za nini? mana naona kila anaesaka mchumba anakuja na dhana ya degree. Wewe muombe Mungu wako akupe mchumba period, kwa Mungu ambako wachumba wanatoka hakuna degree.
 
Dada jeuri huyu kani ignore kweli ati. Wewe mchumba hivi ni viashiria tosha kwamba huyu mke mtarajiwa ni kiburi hivyo kazi kwako.
 
Hivi hizi degree mnatakaga za nini? mana naona kila anaesaka mchumba anakuja na dhana ya degree. Wewe muombe Mungu wako akupe mchumba period, kwa Mungu ambako wachumba wanatoka hakuna degree.

naamini MUNGU sio dikteta kama moyo wake unapendezwa na wenye degree basi MUNU atampa kitu saaaaaaaafi chenye sifa zoote za kuwa mke,lkn chenye degree,umeelewa?........degreee muhimu,hawa amabao hawana degree wana wivu sana,utasikia ``unanidharau eee,umepata wasomi wenzio``....sasa shida ya nn,
 
Sasa wewe sugua goti kuomba mume mwenye degree badala ya mume mwema
 
me ni He,ila She wangu ninayemwomba MUNGU anipe pamoja na ``Universal Qualifications`` ambazo naamini kila mwanaume anagependa awe nazo na dgree or Advanced Dip. ni moja ya kigezo
Sasa wewe sugua goti kuomba mume mwenye degree badala ya mume mwema
 
Nashukuru kwa michango yenu.. ila naamini nivizuri mtu ataje sifa anazo penda....naamini wapo wadada wazuri na waliotulia walio enda shule vizuri wanaomba mungu awape wenza wa kuendana nao....
 
naamini MUNGU sio dikteta kama moyo wake unapendezwa na wenye degree basi MUNU atampa kitu saaaaaaaafi chenye sifa zoote za kuwa mke,lkn chenye degree,umeelewa?........degreee muhimu,hawa amabao hawana degree wana wivu sana,utasikia ``unanidharau eee,umepata wasomi wenzio``....sasa shida ya nn,

Nyinyi ndo mnaoleta ubrigedia jenerali wa kazini mpaka kitandani....sasa degree kwenye mapenzi inatumika vipi. Nadhani hata Mungu huko aliko anakushangaa tu.
 
naamini kila mtu ana vitu anavovipenda ,so mimi pamoja na sifa zote za mwanamke ,lkn elimu pia lazima awe nayo,vp umeoa std 4 nn
 
Hatukatai usimpende mwenye degree ila kwani degree hata ukioa si unaweza kuitafuta tu? Mbona mimi nimeoa nikiwa nimemaliza form six na nikafanya adv Dipl Mzumbe na sasa namalizia MBA Esami? A wise man is created not made so those degrees could just be made as long as you are married to a focused and determined person. So you need to cry for a wise man and NOT graduate!!!!
 
at least u have said a word
 
naamini kila mtu ana vitu anavovipenda ,so mimi pamoja na sifa zote za mwanamke ,lkn elimu pia lazima awe nayo,vp umeoa std 4 nn

mm ndo std 4 mke wangu ana Ph.D. Bd hujaoa ........hujaelewa maana ya ndoa.
 
Back
Top Bottom