DR HAYA LAND JF-Expert Member Joined Dec 26, 2017 Posts 23,928 Reaction score 63,499 Oct 28, 2022 #1 Ukiona unaitwa mume wa dada fahamu kuwa wanakuchukulia poa yaani huna hela. Masikini wanaongoza kwa dharau tangu Dunia kuumbwa kwake na wanaongoza kuita watu majina ya Ajabu mara tolu mara n.k
Ukiona unaitwa mume wa dada fahamu kuwa wanakuchukulia poa yaani huna hela. Masikini wanaongoza kwa dharau tangu Dunia kuumbwa kwake na wanaongoza kuita watu majina ya Ajabu mara tolu mara n.k