Mume wa Khadija Koppa ambaye ni diwani kata ya Magomeni - Bagamoyo amefariki dunia

Unapafahamu mahali pema pa kuweka roho za watu au unaropoka? Kama papo hapo mahali kwa nini usiipeleke roho yako mwenyewe?
Mwacheni arejee mavumbini tu.

mkuu namna yako ya kufikir inafurahisha kdogo!!
 
Huyu mama omari kumbe anauguza mume halafu anapuyanga2. Jana alikuepo rukwa kwenye tamasha. R.I.P.

hivi inamaana ukiuguza usifaye kazi??mgonjwa atakula nini??
yuko rukwa kikaz je asingekwenda kisa anauguza ilihali anaowatu wanaoweza kumkalizia na yeye akaenda tafuta pesa za kumnunulia mgonjwa dawa?? tuache ujinga wa kuwaza padogo unless umekuwa na mgnjwa wa kitandani kwa muda mrefu ndipo utakapoelewa kwann Hadija Kopa alifanya hicho unachokiita kupuyanga.
 
RIP.Ukiacha watani wa makabila ambao huenda msibani na utani ukawa sehemu ya kuwafariji waliofiwa utani kwa taarifa hizi si jambo la afya njema!
 
RIP Diwani aka Jaffar,
Pole Malkia aka Gwiji wa Mipasho aka Taarabu Khadija Kopa na wote tulioguswa na Msiba huu.


 
jamani mbona hicho kiti kimepata mkosi mara mbili au kuna mkono wa mtu mambo ya uchawi

Hicho kiti kilikuwa cha chadema maccm yakapora kura ole wao kila atakaye kalia bila ridha ya wananchi mauti kumkuta.
 
Rest in Peace Jaffar. Ila ndugu wanaposema mgonjwa kaugua kwa muda mrefu kama mleta mada alivyosema kwani wanashindwa nini kuutaja huo ugonjwa wa muda mrefu. Tunapotoa general and undefined statements zinasababisha maswali mengi sana kwa wasomaji wa habari. Pole sana mama Hadija kwa kufiwa na mume wako uliyempenda sana. Mlipendana hadharani bila kujali binadamu maana hatuna dogo. Hivi msanii Lulu alipotuhumiwa (sijui kama ni kweli maana sikuona hata picha moja wakiwa na Komba) kuwa anatembea au ni mpenzi wa mheshimiwa huyu ni kwa nini hamsemi? Mwanamke akimzidi mwanaume basi utasikia mara mama yake mara bibi yake mara vile. Hivi wale wanaoa wanawake zaidi ya mmoja nipeni umri range wa mke mdogo!!!! Wengine ni sawa na watoto wao na hawasemwi!!! Kabla hatujakosoa basi tuangalie pande zote za shilingi.
 
Mwambie huyo hajui kuoa li-sugar mama ni SUNNA!
 
R.I.P diwani, pole malkia yote mipango ya Mungu na yatupasa tushukuru kwa kila jambo
 
Hicho kiti cha udiwani kina mkosi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…