AbouZakariya
JF-Expert Member
- Mar 19, 2013
- 1,646
- 2,378
Mkuu kauli yako iko kifumbo zaidi,hebu ifungue kidogo.wa kukusitiri na maovu hakuna
utaendelea kupasuka ila isome imani yako vozuri sio kwa kukatirisha
Hapana mkuu hajakufuru bali ni uchaguzi tu, kwani pamoja na kigezo cha uchmungu lakini kuna vigezo saidizi pia.Tathimini upia vigezo vyako unamkufuru Mungu kwani havikubaliki unataka mchamungu huku unakufuru Mungu kaumba warefu na wafupi wanene na wembamba weusi weupe na katika kuoa au kuolewa vigezo kwa wachamungu ni Mchamungu, Mali ,Uzuri na familia ya anakotoka mchumba
Katika sifa unazohitaji umesema akiwa "muislam ni bora zaidi" maana yake ni kwamba milango i wazi kwa yoyote ila muislam ndie bora?.Eeeh
Hahaaa safi sana, mzee umefunguka ashindwe yeye tu.Mimi nina mke mmoja na watoto wawili ni muislam ninaejitambua mke wa pili ndio tatizo langu ikiwa uko teyari kukaa ukewenza kuvaa hijabu ya kisheria kuwa mama wa nyumbani uwe teyari kuishi mtwara ktk nyumba moja na mke mwezio nitakuja kuyajenga
Muislam niye bora zaidKatika sifa unazohitaji umesema akiwa "muislam ni bora zaidi" maana yake ni kwamba milango i wazi kwa yoyote ila muislam ndie bora?.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bure ghali
Bado hujafanikiwa?Wazima humu
Natafuta mtu wa kunisitiri maana naona hali yangu c hali tena na swala la kuzini silihitaji kabisaaa masikioni mwangu
Najikuta napoteza watu wengi ambao wananihitaji kimapenz Ila wengi hawamuogop Mungu wameendekeza zinaa hvy nikiweka msimamo bac mtu anapotea lakini cjali naamini yupo mwenye hofu na Mungu na akanisitir
Hvy bac ww ambaye unahc unauhitaji wa mke ikiwezekan hata ndani ya mwaka huu huu bac hii ndo fursa yako na hakika hutajutia kunijua wala kunioa
Akiwa muislam itapendeza zaid
Akiwa msomi Sawa pia hata kama hana kazi haina shida mali zinatafutwa ila awe amesoma maana mm elim yangu mm ni ya kawaida tu
Andunje hapana jamn mnisamehe maana me pia anduje sasa tukitaka kufuta vumbi kwenye feni itakuaje hapo
Awe tayar kubadilika na kuishi kwa kumtegemea Mwenyez Mungu kwa kila kitu na sio binaadam mwenzake (shirki is not allowed)
Akiwa mpole kwangu nitashkr sana ila ajue tu yeye ndo baba hvy inafikia kipind atatakiwa upole ubakie kwangu ila kwa watoto natamani awe mkali zaid maana mm hadi najionea huruma siwez kuongea kwa ukali
Asiwe black saanaaa wala mweupeeee saaana angalau maji ya kunde
Awe tayar kuishi na mm bila kuninyanyasa maana sina kibarua Ila napenda ujasiriamali so akiniwezesha atafutarah maan biashara kwangu ni bora kuliko kuajiriwa
Ila nikibak nyumbani napenda zaid maana nitakuwa na uhakika wa kumtimizia mume wangu nahitaji yake kwa muda unaotakiwa angalau hata 95%
Karibuni PM mwenye nia tu
Nimekidhi vigezo vyote [emoji4]Wazima humu