Mume wa mtu nomaah!

duh, hili ni bonge la namna ya kumwaga mtu!!!!! i like it!!!!!!
 
nimeipanda hii !
 
Huyo bwana atakuja kukuaibisha wewe trust me kama aliweza msemea vibaya wmoyo wake wewe ni nani chukua ustaarabu wako kata mawasiliano unajitia kwenye matatizo bureeee.anataka kukutumia tu iko siku atakukana nakukutukana/
 
Huyo jibaba anatishia nyau tu kwani anataka kuendelea kukutumia, make decision otherwise utatumika ukija kustuka ni jioni umezalishwa na kuzeeka mwenzio anaendea na mkewe. Haya kala ka bhao
 
Kichwa cha habari na maelezo yako tofauti,samahani naomba nitumie hili neno japO si zuri unajinafkisha.kama ni noma mbona hujamwacha?kama unaona huruma anateseka unasubiri nini?huu wote unafiki unampenda na unajua ana mke..kama unaamini anayokueleza mwambie bas awakutanishe ana kwa ana akutambulishe wewe ndio mke atakayekuoa/HII UNAIONAJE?
 
Kuna raha yake kuzaliwa mwanaume aisee!

Mkuu Boss alishawahi leta hii kauli 'you may never know about women'
 
poleeee bora tu hujazalishwa wala mimba haijanasa wahi angaza utafute wasize yako mwenye mke na mtoto atakuwa kakuzidi sana umri japo umri ni namba tu-wasemavyo wadhungu lol
 
Hivi kumbe kuna baadhi ya Wanawake sehemu yenu ya ubongo ile ya kugundua kama unadanganywa live huwa inakufa mapema enh?
 
Anacheza na akili yako huyoooo, kataa kuwa mtumwa wa mapenzi kwa kutishiwa, kama kweli anakutishia vituo vya Police huvijui kumriport? achana na huyo mtu mwisho wake utakuwa mbaya....:rant:
 
Sasa wewe si unaogopa kutishiwa?Subiri uchanwe viwembe na kumwagiwa maji ya moto!
 
Thanks to God that you have come to your senses na kugundua kuwa unamsabishia mwanamke mwezako visa toka kwa mumewe.
Then ni kitu ambacho ni kigumu saaaaaana, kuishi na jinsia tofauti ktk rum moja then useme hakuna kinachoendelea?.............. tena mtu ulishazaa nae I mean mzazi mwenzako?

Ushauri: Mpaka hatua hii umeshatendwa, so take time kuikubali hiyo hali. naamini katika utulivu huo na pia ukimshirikisha Mungu, basi utapata atakaye utuliza mtima wako.
 
huyu dem mwenyewe anampenda msela..anatuzuga tu,.

kadiri men anavyopata umri ujuzi nao unazidi na utamu kunoga (analea na kusafiri mbaali)..hawezi kumuacha mpaka yamkute makubwa..
 
Lol, hiyo kali; ANAKUTISHA???
We sema kama unampenda wala usifiche.
Hao ndo wanawake ndomana MWANAUME aliumbwa awe MCHUNGA wa MWANAMKE.
 
hawapo hao....
 
hivi wewe unaona raha sana mwenzako anavyoteswa?
na bado unatamka ati unajifanya kusikia huruma
hujui kuwa hiyo ni laana unajitengenezea ktk maisha yako kwa kuwatesa wasio na hatia?
 
Mnafanya uzembe shuleni, mnapata "O" halafu mnang'ang'ania wanaume !!!! Kama umetishishiwa umetoa taarifa Polisi Post ipi ? Haya, subiri na wewe upewe mimba ili ufanane na mke wake, hapo itakuwa rahisi kwake kukuacha na kutafuta mwingine binti asiyekuwa na mtoto.
 
hivi wewe unaona raha sana mwenzako anavyoteswa?
na bado unatamka ati unajifanya kusikia huruma
hujui kuwa hiyo ni laana unajitengenezea ktk maisha yako kwa kuwatesa wasio na hatia?

Inakuwa kama laana vile, binti akishaanza mambo ya mahusiano na waume za watu ni vigumu kuolewa !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…