Mume wa mtu uibe, haitoshi umtoe roho mwenzio……….!

mkuu wangu,mzee wangu habari ya siku mingi. hiki kisa kinasikitisha sana,but the world is not fear.
 
Asha Mkwizu Haule. alimuua mwenzie akamtia kwenye gunia na kumzika mwenye shimo dogo kwenye migomba hapo nyumbani kwako upanga. damu silizoonekana ndio zilitoboa siri. If Istill remember well the story.
Kuna nyingine Mtambuzi ya Dr. Madeleke alimuua mkewe Swaziland. Mke alikua chotari wa kiarabu na mhehe, anaitwa shilla. mambo ya wivu pia, hebu mtambuzi kama kawaida yako fanya kazi, utuletee story kamili hapa.

 
Pasco ngoja nikuchokoze kidogo, hivi kesi hiyo ya Asha Mkwizu ikiunguruma pale Mahakama Kuu jiji Dar ulikuwa na umri gani?
Mtambuzi, mimi nimekuwa na interst kusoma kesi tangu niko Primary darasa la 3!. Sikumbuki niliisoma kesi hiyo miaka gani, bali kesi yangu ya kwanza kuifuatilia ni ile ya uhaini ya Juma Thomas Zangira, ikafuatia kesi ya Mauaji Mwanza, baadae kesi ya Mauaji Shinyanga, nikafuatilia kesi ya Uhani ya kina Father Tom na McGee. By then redio ni moja tuu RTD, magazeti mawili tuu Daily News/Sunday News na Uhuru/Mzalendo!.
 
Ahsante kwa angalizo nitaitafuta na kuiwekan hapa wiki zijazo.........................!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…