JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Mume wa Irma Garcia, mwalimu ambaye ni mmoja wa walioualiwa katika shambulizi lililotokea shuleni na kuua pia Watoto 19, amefariki kwa shambulizi la moyo.
Memba mmoja wa familia amesema kuwa Joe Garcia aliumizwa sana na kifo cha mkewe, akawa ni mtu mwenye majonzi na hiyo inasadikika imechangia kifo chake, siku mbili tu tangu mkewe auawe.
Joe na Irma Garcia walikuwa wanandoa ambao walifunga ndoa miaka 24 iliyopita. Wawili hao wameacha watoto wanne.
Irma Garcia alifundisha katika Shule ya Robb Elementary kwa miaka 23.
======
The husband of Irma Garcia, a fourth grade teacher killed during the Uvalde school shooting, has died of a heart attack, two days after the massacre, according to family and multiple reports.
Joe and Irma Garcia were high school sweethearts who were married for 24 years.
A family member said in a GoFundMe that they believe Joe Garcia “died of a broken heart.”
A gunman went on a rampage at Robb Elementary School on Tuesday, killing 19 children and two teachers.
The attack was the deadliest school shooting in the nation since the massacre at Sandy Hook Elementary in Newtown, Connecticut.
Irma Garcia had been teaching at Robb Elementary for 23 years, the Dallas Morning News stated. The couple leave behind four children.
Source: WDBJ7