Mume wa mwimbaji Injili adaiwa kumbaka shemejiye

Maneno mazuri haya vijana wangekuwa wanayapata na kuyatafari huku akili ikiwa neutral ndo nyingi zingekuwa zinadumu tatizo watu tunafanya maamuzi tukiwa na hasira

usifanye haraka kukasirika nafsini manake hasira hukaa kifuan mwa --------...............

am telling you wakiruhusu media kua msuluhish tayari wataibomoa ndoa yao. wakikaribisha wanakamati tayari wameibomoa. wamkaribishe kristo awasuluhishe naamini itapona tu. hakun jambo gumu kumshinda yeye Mungu.

je unadhani wao wawili wakikaa chumban na kuombana msamaha kisha wakapatana na kuruhusu amani iwatawaele wapambe watapata nafasi??

wawafikirie wato wao, wanavyoumia kwa habari hizi kupamba magazetini na mitandaon wawaonee huruma wanateseka sana. hebu waache utoto wakue kiakili kwasaabbu haya hayana faida kwa yyte kati yao zaid ya hasara, na kujipatia jina baya.
 
Mtaichimba masho sana lakini mtazama wenyewe na skendo zenu kwa watu wa Mungu.
 
Gwajima kwann amchukue mtt aliebakwa?? Halafu kwann baada ya flora kukwaruzana na mumewe gwanjima akampangishia flora gest?? Mbasha anaongea kwa huzuni sana. Tofaut na mkewe ambae kang'ang'ania jamaa aende polisi.
(may b gwanjima na flora wanataka kuwa free vizur)
 

You Are Soooo Right......Hili ndio la muhimu.....Haya maelezo mengine sijui nini na nini ni wastage of time.......
Ndoa Tamuuuu Bhana Hasa Mkimkaribusha Mungu Mioyoni Mwenu Katika Mapito....Analeta Upendo Wa Raha Na Wa Ajabu......

This Too Shall Pass...
 
Wewe Najua hujui maana ya Ndoa Na hujui maana ya wanawake, Kaa kimya kama huelewi. Mke anapo kasilika ndani anaweza kukufanyia chochote ilimradi akualibie ila huja kujutia pindi asira zinapomwisha. hii yote ni njama.
 
Hivi kwanini Flora ulienda kuishi guest/ lodge??? Alikosa kabisa mahali pengine ambapo ni salama??

Flora ni malaya tangu akiwa mdogo. Na mbasha alionywa kumwoa flora, lakini kwa kutosikia alimwoa kwa sababu tu ni mjukuu wa Kulola (RIP). Sasa kulola hayupo aliyekuwa anawasimamia ni laizma hiyo ndoa ife, piga ua.
 
Ya walokole waachie walokole wenyewe..... tujipitie zetu hayatuhusu haya sisi wenye mapepo na wao watakatifu
 
acha kuhukumu maana mpaka sasa hakuna ushahidi ulio wazi!!


Matokeo ya vipimo ambavyo vilifanywa na daktari kung’amua kama binti huyo aliingiliwa vinaonyesha kuwa kulikuwa na mbegu utokaji wa mbegu usio wa kawaida (HVD).

Kazi ipo!! Watafanyaje ili kuupata mshabihiano wa hizo seeds!! (I mean mfanano kati ya zile zilizoko Amana na hizo anazokimbia nazo mtuhumiwa)
 
bingwa wa kuiba wake za watu JIGWAMA

Duh!.yamemkuta tena Gwajima. Aliwahi pigwa vibao na jamaa mmoja kwenye saloon moja hivi .kisa Gwajima alimla mwanamke wa huyo jamaa , Kuweni makini na Gwajima ni mchafu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…