Mume wa mwimbaji Injili adaiwa kumbaka shemejiye


Yule binti alitumwa...hivyo ili apate ushahidi ilimlazimu amrubuni jamaa amwingilie mfululizo ili shaahawa zimjae ndiyo apate ushahidi mzuri kwa daktari " Shahawaa utokaji wake usio wa kawaida" Duh....hatareee
 
,Angalia hizi kauli,,Binti kabakwa mara TATU,Flora anasema keshamemsamehe!,
 
Mtaichimba masho sana lakini mtazama wenyewe na skendo zenu kwa watu wa Mungu.

Watu wa Mungu tangu lini wakawa wazinzi? Au huoni kuwa suala hili limezingirwa na uzinzi pande zote. Dawa za Nigeria zinawa brainwash hadi hamtambui kuwa mitume wenu ni waasherati na wauza sembe! Biblia inasema mwili wako ni hekalu la Mungu, lakini mwili wa Gwajima na hawa wazinzi wenzie kamwe haiwezi kuwa hekalu la Mungu, never.
 

Unachoongea ni kweli kabisa..

Hivi wakati anaolewa ilikuaje amempenda jamaa..

Imma alimwin flora, lakn flora alimpenda Emma..

Sasa kinachotokea flora ameona jamaa marioo ampige chini aende kwa wenye fedhaa..
Njia aliyoitumia sio nzuri hata kama mnamikwaruzo kiasi gani katika ndoa. Lakini iishie kwa mamlaka husika sio kupelekana kwa pilato kama hivi.
 
Yule binti alitumwa...hivyo ili apate ushahidi ilimlazimu amrubuni jamaa amwingilie mfululizo ili shaahawa zimjae ndiyo apate ushahidi mzuri kwa daktari " Shahawaa utokaji wake usio wa kawaida" Duh....hatareee

Jamaa alikuwa hajagegeda siku nyingi kwa vile mkewe kahamishiwa GESTI, ndio maana "sperm count" imekuwa kubwa sana. Huenda sio mtu wa michepuko sana ndio maana akashindwa kutafuta "vya kuchinja" akaishia kwenye "vya kunyonga"
 

kweli kabisa wanatumia hizi dini vibaya
 
Flora ni malaya tangu akiwa mdogo. Na mbasha alionywa kumwoa flora, lakini kwa kutosikia alimwoa kwa sababu tu ni mjukuu wa Kulola (RIP). Sasa kulola hayupo aliyekuwa anawasimamia ni laizma hiyo ndoa ife, piga ua.

Umenena bro yan huyo dada ni hatari babu alivyoona posa akasema haleluya mana alikua kicheche balaaa
 
Nabii haguswi kuna mchezo unafanyika hpa kuficha hii skendo,hpa hela ndio hupewa nafasi mbna thread hii yakawaida sana wa2 tunataka kujua ukwel wao wanabania

si ndio nashanga JF where we dare to talk openly lakn nashangaa thread

kufungwa namna hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…