Mume wa mwimbaji Injili adaiwa kumbaka shemejiye

hebu tuwezeshe na sisi ambao hiyo clip hatujaiona ili tuione.

Nitumieni na mimi hiyo clip mpaka sasa Mbasha hajabaka mtu, Flora na Gwajima si wapenzi mpaka uthibitisho wa madai hayo utolewe hadharani!
 


Mheshimwa kwenye mahakama yako unafunga watu kutumia emotions baala ya sheria na ushahidi usio na shaka?
 
Hii ni namna ya kufunika mambo ili mkubwa asiathirike? Haiwezekani kuficha, ilikuwa rahisi kufuata utaratibu YESU wa maridhiano: "Na ndugu yako akikukosa, enenda ukamwonye, wewe na yeye peke yenu; akikusikia, umempata nduguyo. La, kama hasikii, chukua pamoja nawe tena mtu mmoja au wawili, ili kwa vinywa vya mashahidi wawili au watatu kila neno lithibitike. Na asipowasikiliza wao, liambie kanisa; na asipolisikiliza kanisa pia, na awe kwako kama mtu wa mataifa na mtoza ushuru. (MT. 18:15-17 SUV)". Na siyo kupakana matope, kubambika kesi au polisi. Mwisho wa haya ni kuanika ysliyofichika na licha ya kuwa utapata fedheha laki ni dhambi! Hamjachelewa rudini kwenye hii kanuni, msiendelee kumpa sifa shetani


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kama hili limepangwa ili mama aepuke aibu ya kuzini na mchungaji, atapata aibu kubwa zaidi. Kama nilivyoshauri, biblia inaushauri kw kila situation, nairudia hapa - Na ndugu yako akikukosa, enenda ukamwonye, wewe na yeye peke yenu; akikusikia, umempata nduguyo. La, kama hasikii, chukua pamoja nawe tena mtu mmoja au wawili, ili kwa vinywa vya mashahidi wawili au watatu kila neno lithibitike. Na asipowasikiliza wao, liambie kanisa; na asipolisikiliza kanisa pia, na awe kwako kama mtu wa mataifa na mtoza ushuru. (MT. 18:15-17 SUV). Kwa muktadha wa YESU ni Flora ndiye aliyekosewa basi yeye ndiye aanzishe mchakato, na siyo kuhamis hotelini; au la kama ni Emmanuel basi na amuendee Florah na siyo kuanza mahusiano na mdogo mtu. Kimbuka MUNGU anachukia talaka (malaki


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
1.Gwajima sio mwaminifu kwenye ndoa yake.
2.Flora sio mwaminifu kwenye ndoa yake.
3.Emanuel sio mwaminifu kwenye ndoa yake.
4.Esther amekuwa na uhusiano wa kimapenzi na shemeji yake Ema.
5.Ema ametembea na Esther bila kumshurutisha.
6.Esther kwa mara ya mwisho alim"blackmail" Ema kwa kutumia advantage ya uhusiano wao wa kimapenzi.
7.Ema hajabaka kwa maana ya kumuingilia kwa nguvu Esta ila amekuwa akimbaka Esther kwa kuwa wanauhusiano wa kimapenzi huku Esther yupo under 18.

Hii sheria ya kutambua ubakaji kama kufanya mapenzi na msichana asiyevuka miaka 18 ni nzuri na inawalinda mabinti dhidi ya vitendo viovu.Lakini kwa mabinti wasio na adabu kama huyu Esther,hii sheria inatumika kutengeneza kesi kama hizi ili kutimiza malengo ya watu.Huyu Esther ni mzoefu wa mapenzi na wala huyo Ema sio wa kwanza kumuingilia.Sasa iweje Ema kumuingilia,tena labda mara ya 20 ndo iitwe kubakwa?Hao wengine waliowahi kufanya nae mapenzi hawakumbaka?

Kwakweli hii sheria inatumiwa sana kuharibia watu maisha.Binti wa 17 na 18 wanatofauti gani ya uelewa?Na vipi sheria hiyohiyo itambue ndoa ya miaka 15 kwa mwanamke kama kutakuwa na maridhiano ya pande zote?Yani sheria inatambua mke wa miaka 15 ni halali na sheria nyingine inatambua mapenzi chini ya miaka 18 kwa msichana,hata kama kuna maridhiano ni ubakaji!Vibinti vyenyewe vya siku hizi havijatulia kabisa kwakweli.Fikiria kila siku matendo ya ubakaji yanafanyika mangapi kwa maana ya mapenzi yanayohusisha wasichana under 18 na mangapi yanaripotiwa kama kesi kwenye vyombo vya sheria?

Utaona vitu kama hivi vinaripotiwa pale ambapo kuna mission ya kumuangamiza fulani tu.Ni matumizi mabaya sana ya sheria hii
 
Nakumbuka kale kawimbo kao;
Ema: Maisha ya ndoa yafananishwa na safariiiii...njiani kuna mawimbi meeengiiiiii....
Flora: Nakupenda mpenzi wangu, nakupenda sitakuachaaa...

Kumbe nao walikuwa wasanii wa kawaida tu kama akina Jide, Mwasiti, Mr II (Sugu), Ngwear nk...
 
Ya walokole waachie walokole wenyewe..... tujipitie zetu hayatuhusu haya sisi wenye mapepo na wao watakatifu
Hivi Flora naye ni mlokole au tu alizaliwa katika familia ya kilokole naye akaangukia humo?
 
Kwani wewe kubakwa unaelewaje?, watu wanabakwa miaka kumi wanavumilia mateso sembuse huyo siku mbili.

Suala la huyo jamaa kubaka linawezekana kabisa.


In this world nothing is certain than Tax and Death.

Na suala la Gwajima kumgegeda Flora nalo linawezekana.
 
Huyu Mbasha inabidi awe makini sana na anachokiongea kwa kuwa kuwa maongezi ya sim kati yake na huyo shemeji yake yake yanazunguka WhatsApp ambapo anasikika akimuomba msamaha huyo shem wake kwa aliyomfanyia
 
Kwanza utata ulianza kwenyegazet lililo andika kwa Mara ya kwanza,pili frola kuamia oteli kwanini asingeenda kukaa ata kwa Christina shusho wote siwapo tabata wangeshirikiana ata kumuombea mume Kama alionesha anamabadiliko or angejipa likizo akaenda mwanza kwao (3)mbakwaji kwann hakusema siku ya kwanza?akangoja mpaka shemeji kamrudia tena na tena.

Mchungaji gwajima si anamke Kama kweli wameamua kumsingizia basha ili afungwe wao wawe huru mungu atawapiga Kofi baya Sana na frola atajuta maisha yake yote
 

Mimi binafsi nimekuelewa..! Halafu mkuu unafafanua vizuri
 
Ndoa hii ikivunjika, au Emmanuel akila mvua 30 Flora au Emmanuel au yule mhanga wa ubakaji hamtapata furaha, badala yake hali itaendelea kuwa mbaya na laana itawafuata maisha yote. "Nawapatiliza wana maovu ya baba zao hata kizazi cha tatu na cha nne" Kutoka 20: 4. Kuhusu talaka MUNGU ana la kusema - "Hakuna mtu mmoja aliyetenda hivi, ambaye alikuwa na ufahamu kidogo. Au je! Kuna mtu mmoja atafutaye mzao mwenye kumcha Mungu? Kwa hiyo jihadharini roho zenu; mtu awaye yote asimtende mke wa ujana wake mambo ya hiana. Maana mimi nakuchukia kuachana, asema BWANA, Mungu wa Israeli; naye aifunikizaye nguo yake kwa udhalimu namchukia, asema BWANA wa majeshi; basi jihadharini roho zenu, msije mkatenda kwa hiana. (MAL. 2:15, 16 SUV)". Kama mnataka furaha na amani ungamianeni ninyi kwa ninyi na MUNGU atawasamehe na kuiponya ndoa yenu


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Reactions: kui
Na hii ndio kasoro kuubwa ya Tz...

Ukiwa maarufu; mwanasiasa au msanii au kiongozi wa dini... mahakama haikuhusu...watu wanajadili u innocent/guiltiness wa mtu kwa hisia badala ukweli ujulikane kwa hakimu....

Huu ni upepo utapita kama Kapuya's

Ngoja na mimi nigombee ubunge. Lol. maana ya dini siyawezi...
Mheshimwa kwenye mahakama yako unafunga watu kutumia emotions baala ya sheria na ushahidi usio na shaka?
 
hivi hii thread imenipiga chenga saa ngapi tena? ngoja na mimi niweke kigoda hapa niwajuwe vizuri hawa wanaojiita watumishi wa mungu na sisi kutupachika jina la watu wa mataifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…