Mume wa mwimbaji Injili adaiwa kumbaka shemejiye

Ndio maana wengine ukristo wetu ni kwenda kanisani na kurudi baasi....

habari sijui injili Mara hiki au kile tupa mbali binadamu tumebadilika sana huyo demu anabebwa na nabii...

Ndo maana sisi waprotestant na wakotoliki hatuna mbwembwe kama za wenzetu hao.
 
Kwa wanaomjua FLora akiwa Mwanza kabla hajaolewa baadae kudahi kaokoka kwa kupitia kanisa la mjomba wake mzee Kulola hatushangazwi na aliyomfanyia mumewe.hata hivyo huyo mumewe inabidi ajilaumu yeye mwenyewe kwani alimuoa huku akijua tabia zake zote.
 
Najaribu ku connect dots na ile clip inasambazwa whatsApp, inawezekana ni kweli kabisa huyu jamaa kabaka

Kule kwenye clip ya audio alikua akijisifu pia amemkutanisha flora na watu wakubwa, hapa pia amerudia maelezo hayo hayo

Mkewe kuhamia hotel inawezekana ni kutokana na tabia zake mbaya

Hata kushinda Gym masaa 10 inawezekana ni sababu ya vijitabia akaamaua mama wa watu ajiweke busy na Mazoezi

Huyu jamaa kabaka kweli

In this world nothing is certain than Tax and Death.
 
Kama kweli Mungu kawatuma hawa akina Gwajima na wenye kufanana na yeye basi aongeze eneo la jehanamu maana mimi ni miongoni kati ya waendao motoni sijawahi kuwaamini daily wanafanya miujiza ya uongo ni bora nikamsikilize alielazwa pale milembe ila sio hawa.
 
Unauhakika huyo uliemskia kwenye clip ndo mbasha? Au na ww unaweweseka kama watetezi wa huduma,,?
 
hebu tuwezeshe na sisi ambao hiyo clip hatujaiona ili tuione.
 
Hiyo picha kiswahili unaweza ukaita simply pipa na mfuniko au kitaalam cat and mouse play!Mtu descent huwezi kuoa mwanamke wa category ile atakuliza tu lazima!Hawa hawana tofauti na wakaa uchi wa bongofleva au bongomovie ss wataalam we call them big g au jojos unatafuna utamu ukiisha unatema sio wakuweka ndani hao!They are not termed ni makunguru hayo akipna mtu anaendesha Hummer au Vogue tu chupi ishaloa unategemea awe mkeo kweli???????

Sent from Banet Iphone!!
 
Najaribu ku connect dots na ile clip inasambazwa whatsApp, inawezekana ni kweli kabisa huyu jamaa kabaka

Kule kwenye clip ya audio alikua akijisifu pia amemkutanisha flora na watu wakubwa, hapa pia amerudia maelezo hayo hayo

Mkewe kuhamia hotel inawezekana ni kutokana na tabia zake mbaya

Hata kushinda Gym masaa 10 inawezekana ni sababu ya vijitabia akaamaua mama wa watu ajiweke busy na Mazoezi

Huyu jamaa kabaka kweli

In this world nothing is certain than Tax and Death.

Hata kama ni kweli amebaka, mkewe alimrekodi kwa lengo gani na kusambaza kwenye media?

Kwa nini mara baada ya kubaka wakaitwa waandishi wa habari, tena wa Mwananchi na kumuhoji mbakwaji na kuonyeshwa hadi vipimo vya daktari siku hiyo hiyo? Kwa akili ya kawaida mwanamke ukiambiwa mumeo amebaka lazima hautaamini hapo hapo utajaribu kujiridhisha, mbona Flora anakwepa hata kuonana na mumewe? Hapa kuna mambo makubwa, mchungaji anavunja ndoa ya kondoo wake. Ningekuwa Mimi Mbasha nisingejiua, ningehakikisha NAKUFA NAO
 
Unauhakika huyo uliemskia kwenye clip ndo mbasha? Au na ww unaweweseka kama watetezi wa huduma,,?

Haya maelezo hapa ndo yananofanya niamini yule ni mbasha

Wewe isikilize ile clip, kisha soma haya maelezo you will notice something similar, kama haya maelezo hapa kweli ni ya huyo mjamaa basi hata ile clip ni yeye.

In this world nothing is certain than Tax and Death.
 
Kwa wanaomjua FLora akiwa Mwanza kabla hajaolewa baadae kudahi kaokoka kwa kupitia kanisa la mjomba wake mzee Kulola hatushangazwi na aliyomfanyia mumewe.hata hivyo huyo mumewe inabidi ajilaumu yeye mwenyewe kwani alimuoa huku akijua tabia zake zote.

Hembu tudhimulie kidogo manake huyu mama anaonekana kabisa macho jujuuuu kama kabanwa na mlango mama shababi kweli huyu.
 
Najaribu ku connect dots na ile clip inasambazwa whatsApp, inawezekana ni kweli kabisa huyu jamaa kabaka

Kule kwenye clip ya audio alikua akijisifu pia amemkutanisha flora na watu wakubwa, hapa pia amerudia maelezo hayo hayo

Mkewe kuhamia hotel inawezekana ni kutokana na tabia zake mbaya

Hata kushinda Gym masaa 10 inawezekana ni sababu ya vijitabia akaamaua mama wa watu ajiweke busy na Mazoezi

Huyu jamaa kabaka kweli

In this world nothing is certain than Tax and Death.

Mkuu tuwekee hiyo audio
 
...Usihukumu ili na wewe usihukumiwe. Kwa maana hukumu uta kayotamka juu ya wenzako ndio itakayotumiwa kukuhukumu, na kipimo utakachotoa ndicho utakachopokea. Kwa nini unaangalia kijiti kidogo kilichomo katika jicho la ndugu yako na wala huoni pande la mti lililoko jichoni mwako? Au unawezaje kumwambia ndugu yako, ‘Hebu nikutoe uchafu jichoni mwako,’ wakati jichoni mwako mna pande kubwa? Mnafiki wewe! Toa kwanza pande lililoko jichoni mwako, ndipo utaweza kuona vema, upate kukitoa kipande kilichoko ndani ya jicho la ndugu yako...
 
Najaribu ku connect dots na ile clip inasambazwa whatsApp, inawezekana ni kweli kabisa huyu jamaa kabaka

Kule kwenye clip ya audio alikua akijisifu pia amemkutanisha flora na watu wakubwa, hapa pia amerudia maelezo hayo hayo

Mkewe kuhamia hotel inawezekana ni kutokana na tabia zake mbaya

Hata kushinda Gym masaa 10 inawezekana ni sababu ya vijitabia akaamaua mama wa watu ajiweke busy na Mazoezi

Huyu jamaa kabaka kweli

In this world nothing is certain than Tax and Death.

Ndugu hiyo habari ya kumkutanisha flora na watu wakubwa inawezekana aliitoa kabla watu wakamtengezea sound tuleteeni picha za huyo binti yaani mtu ubakwe ijumaaa unasikilizia tu maumivu hata usiwe na hofu ya kumwambia nduguyo au hata kukimbilia polisi asubuhi kutoa taarifa jumapili tena kwenye gari tena asubuhi na jioni we bado upo tu halafu break ya kwanza kwa gwajima kwa nini hakwenda police au kuwaambia ndugu zake? Acheni hizo hata kama katembea nae haka kabinti katakuwa ndio mchezo wake na huyo flora analo kwa nini alihama nyumba anawacha mahouse girl na huyo mdogo wake wa kufikia kwa mume ? Halafu eti unaenda kuishi hotelini hana wazazi? Mtu una kwenu na kweli umeparangana na mmeo kiubinadamu lazima utafute faraja za ndugu kwanza huko hotelin alipoenda kukaa alikuwa anafarijiwa na nani? Sijawahi ona hii makitu kweli pesa shetani.
 
Haya maelezo hapa ndo yananofanya niamini yule ni mbasha

Wewe isikilize ile clip, kisha soma haya maelezo you will notice something similar, kama haya maelezo hapa kweli ni ya huyo mjamaa basi hata ile clip ni yeye.

In this world nothing is certain than Tax and Death.

Maelezo nimesoma na kuyaelewa, nikuulize kitu, hivi umesoma na kuilewa hii story ntangu imeanza kule kwenye celebrity forum?
 
huyo aliyetoa hii post akinijibu haya maswali nitamwelewa, huwa sipendi kurun into conclusion... napenda kuhakikisha.
-Frola na mumewe walihamia mwezi gani ufufuo na uzima?
-Mikutano ilianza lini?
-je huo muda kati ya mwezi aliohamia Frola na mmewe hadi kipindi mikutano inaanza ni kipindi cha muda gani? mana hapo kati ndo umesema Frola alipelekwa na Gwajima UK kusoma na Gwajima ambaye hawezi kupita miezi miwili bila kwenda UK, akawa anaenda huko MARA KWA MARA na kuonana na Frola..sasa kwani ni miezi mingapi hapo kati? kwamba ni mingi hadi Gwajima akawa anaenda mara kwa mara (interval uliyoweka 2 months)! even if unamaanisha kile kipindi baada ya mikutano iliyoisha 30/31st December, 2013... je Frola mwanzoni mwa mwaka huu alivyoenda UK alikaa muda gani.. mwezi uliisha??
-Alienda bila mumewe? kama ni kipindi hicho Gwajima alisafiri?
-hiyo course ilikuwa ya muda gani? ... bila shaka very very short course.. ilikuwa ya nini aisee? ...
-hivi shortcourse fupi zaidi ambayo ni rasmi kabisa kiasi kwamba unaweza kuisafiria ni ya muda gani?
-je mikutano ilifanyika nchi nzima???????
-na katika hiyo mikutano... Frola hakuwa na mmewe??? alikuwa mwenyewe???

naomba majibu[/QUOTE
unatokea kituo gani afande??
 
Ndugu hiyo habari ya kumkutanisha flora na watu wakubwa inawezekana aliitoa kabla watu wakamtengezea sound tuleteeni picha za huyo binti yaani mtu ubakwe ijumaaa unasikilizia tu maumivu hata usiwe na hofu ya kumwambia nduguyo au hata kukimbilia polisi asubuhi kutoa taarifa jumapili tena kwenye gari tena asubuhi na jioni we bado upo tu halafu break ya kwanza kwa gwajima kwa nini hakwenda police au kuwaambia ndugu zake? Acheni hizo hata kama katembea nae haka kabinti katakuwa ndio mchezo wake na huyo flora analo kwa nini alihama nyumba anawacha mahouse girl na huyo mdogo wake wa kufikia kwa mume ? Halafu eti unaenda kuishi hotelini hana wazazi? Mtu una kwenu na kweli umeparangana na mmeo kiubinadamu lazima utafute faraja za ndugu kwanza huko hotelin alipoenda kukaa alikuwa anafarijiwa na nani? Sijawahi ona hii makitu kweli pesa shetani.

Kwani wewe kubakwa unaelewaje?, watu wanabakwa miaka kumi wanavumilia mateso sembuse huyo siku mbili.

Suala la huyo jamaa kubaka linawezekana kabisa.

In this world nothing is certain than Tax and Death.
 
Kama kweli Mungu kawatuma hawa akina Gwajima na wenye kufanana na yeye basi aongeze eneo la jehanamu maana mimi ni miongoni kati ya waendao motoni sijawahi kuwaamini daily wanafanya miujiza ya uongo ni bora nikamsikilize alielazwa pale milembe ila sio hawa.

Utakuhumiwa kwa kinywa chako! Yaani wewe ndugu mpaka utubu, vinginevyo hutaikwepa jehananu, na shatani anasimamia sana ukiri wa maneno ya watu kama nyie
 
Back
Top Bottom