miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,811
- 49,053
mna mmaliza Mbasha kisaikolojia! Huko aliko anawaza mengi sana, atawaza kumbe hata yule producer aliesemekana kumgegeda Frola ni kweli, kumbe zote zakupikwa tu!
subiria yatajulikana mengi sna
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mna mmaliza Mbasha kisaikolojia! Huko aliko anawaza mengi sana, atawaza kumbe hata yule producer aliesemekana kumgegeda Frola ni kweli, kumbe zote zakupikwa tu!
hebu tuwezeshe na sisi ambao hiyo clip hatujaiona ili tuione.
Nyie waandika thread wengine hatuwaelewi...SWALI LA MSINGI NI ALIMBAKA HUYO MTOTO AU HAKUBAAKA...sisi hatuna haja ya kujua maswala yao ya ndoa ya huko uingereza kwani wakati yanatokea nani aliambiwa ama alienda kuripoti wapi kuwa mkewe anatoka na Gwajima....kwa maelezo ya huyo mtoa thread wa kwanza hajakanusha kama huyu Michael alibaka kwa hiyo the issue here ni amebaka mtoto under 18 habari hizo nyingine za kuyumbishana hoja wapelekee vichwa maji...na ole wenu hiyo Kesi ije kwenye mahakama yangu huyo nitamfunga 30 zote hii tabia ikome kabisa.....YOU CANT CHEAT GOD...MNASIMAMA MAJUKWAANI TUNAWAONA WATU WA MAANA. Kumbe ni rubbish kabisa nyuma ya majukwaa.....Disgusting!!!!!
Sifaham Heaven on Earth , wadau mwakibete masai dada tweenty4seven au J.lee hakuna aliyemuon The bold mahali??? hata PM tu?
sijamuona asee sijui ni vipi hata Mungu wangu dah!
cc. MCHUNGUZI HURU
Hahahahahhaaaaaa...haya bhanaamefanya Jema.... Asingekimbia kuna mengi yasingekua wazi
Jamaa amezini hajabaka
Mzee wa kanisa nini?Utakuhumiwa kwa kinywa chako! Yaani wewe ndugu mpaka utubu, vinginevyo hutaikwepa jehananu, na shatani anasimamia sana ukiri wa maneno ya watu kama nyie
Hivi Flora naye ni mlokole au tu alizaliwa katika familia ya kilokole naye akaangukia humo?Ya walokole waachie walokole wenyewe..... tujipitie zetu hayatuhusu haya sisi wenye mapepo na wao watakatifu
Kwani wewe kubakwa unaelewaje?, watu wanabakwa miaka kumi wanavumilia mateso sembuse huyo siku mbili.
Suala la huyo jamaa kubaka linawezekana kabisa.
In this world nothing is certain than Tax and Death.
Mzee wa kanisa nini?
Nisije nikasutwa sijasema uhusiano wa kimapenzi...
Uhusiano ni Gwajima kumhamishia Flora GEST, kumpa cheo kikubwa kanisani, kumpeleka chuoni Uingereza na kumtembelea mara kwa mara, kuzunguka naye kwenye mikutano nchi nzima. Yote hayo AMESAIDIA huku mumewe Flora amebaki nyumbani.
Mheshimwa kwenye mahakama yako unafunga watu kutumia emotions baala ya sheria na ushahidi usio na shaka?