Mume wa Osinach Chwachukwu ahukumiwa kunyongwa

Mbona verdict haipo kwenye huu Uzi
Au mleta mada umeona kuwa charged na homicide ndio verdict yenyewe

Poor me
 
Aliyekuwa mume na meneja wa mwimbaji wa nyimbo za injili nchini Nigeria, Peter Nwachukwu amehukumiwa kunyongwa mpaka kufa baada ya kukutwa na hatia ya kumuua Osinach Nwachukwu, kinyume na kifungu cha 221 cha kanuni ya adhabu.

Inadaiwa kifo cha mwimbaji huyo kilitokana na kipigo kutoka kwa mumewe na kupelekea kulazwa hospitalini kwa ajili ya matibabu huku Taarifa kutoka ndani ya familia ya Sinachi zinasema, marehemu alikuwa na uvimbe wa damu ulioganda kwenye kifua uliopelekea kifo chake.

Akiwa mahakamani, imeelezwa kwamba Nwachukwu alimnyima marehemu uhuru wa kibinafsi na kumzuia kutembea, matusi, kumwathiri kisaikolojia, pia alimnyima pesa za kujitibia baada ya kumpiga na kumlazimu kuomba na kukopa kwa watu.
 
Mbona maelezo haya hayana hukumu??
 
Tatizo la wabongo hamkubali kuonekana mmekosea pale mnapokosolewa. Hakuna aliyefahamu hio taarifa muda huo unaousema mpaka pale mwili wake ulipoopolewa mchana maeneo ya rock beach
Hata ww ni mkurupukaji. Huyo jamaa alijiuwa siku hiyo hiyo usiku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…