Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 19,009
- 22,509
TaharukiKwa nini anatajwa kama mume wa Samia, badala ya kutajwa 'ALIYEKUWA mume wa Samia? Mbona tuliambiwa kuwa Samia alikwishamwacha, na kwamba alimwambia atafute mwanamke mwingine, na kwamba yeye angemlipia mahari.
Pole sana kwa wanafamilia, marehemu hajawahi kushiriki kwenye uovu wowote wa yule mwanamke na mwanae.
Msiba upo wapi?Mume wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, Hafidh Ameir, amefariki Dunia.
Taarifa za kifo cha Hafidh Ameir, zimetangazwa na Makamu wa Rais, Deogratius Ndejembi kupitia Vyombo vya Habari.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Deogratius Ndejembi akitangaza taarifa ya msiba wa Mhe. Hafidh Ameir Hassan ambaye ni mwenza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Siyo vizuri 🥹Watu wana hasira zao, na hivyo ndio wameamua kutoa madukuduku...
Kitandani.Amefia wapi?
Ulikuwa wakati mzuri sana huu wa kumrudisha mama Tanganyika ila ndiyo hivyo tena walishahongwa wale mbwaNilianza kufurahi nilipoona anatangaza Makamu wa Rais nikajua mambo safi .Kumbe off taget
Kumaliza mwendo?Siyo vizuri 🥹
Kweli ila wanaruhusiwa kwa masharti kama ni bread winnerKwanini hapana mkuu? Kuna zile siku 90 ndani.
As long as hio familia inapitia wakati mgumu watu walioumizwa watashangilia tu...Huyu Baba amewakosea nini Watanzania?
Aisee..KIFO NI KIFO TU
Azike msukule wake
Kifo ni kifo tu!R.I.P Mzee Ameir. Poleni familia. Pole sana Mheshimiwa Rais kwa msiba huu. Mungu akupe wepesi kuukabili.
Trump, Netanyahu na wengine wachungulie huu ujumbe🙏🙏"Maisha ya binadamu hapa duniani, ni hadithi tuu"- Mzee Ali Hassan Mwinyi.
Ujumbe: Tupendane, tusitesane, tusiuane, sote ni wapitaji tuu hapa duniani.
Unatakaje!Msiba upo wapi?
Ndio kibada ya mazishi imeanza sio?