TANZIA Mume wa Rais Samia, Hafidh Ameir, afariki Dunia

Nadhani kuna malaika hakuelewa maelekezo ya kazi yake...
 
Mzee poa sana hakutaka makuu, Mungu huinua awatakaye, mwenyenzi Mungu amlaze mahala pema peponi. Ndiyo ilikuwa muda wa kula maisha ila ndiyo hivyo duniani siyo kwetu!
 
Hao wenyewe Wana siasa wako,wafanyabiashara,polisi Dola na watumishi umma unawaona sio wapumbavu Wana akili nyingi sana kama wewe wameshangilia vifo vya watu na kuvibariki... Hujui kitu bro!!

Sijaona mtumishi yoyote kashangilia kifo cha yoyote zaidi vile Vifo vimetokea kwa ukiukwaji wa Sheria zetu

Mbona D9 mbona 7+7
hakuna Vifo ???

Jamhuri inawapenda Raia wake sana tatizo kujitia
upofu wa Sheria ndio Jamhuri inachukua hatua ✍️
 
Naungana na Makamu wa Rais kuwapa WATANZANIA wote pole kwa MSIBA mzito,

Namwombea Mzee Arfidhi Pumziko jema sana apumzike kwa Amani,
Nimewaza sana nikajiuliza hivi huyu Mama Rais angeolewa na Mume mwenye Gubu kama wanaume wa kiswahili wakina Jakaya, au msukuma sijui nani ikulu hisingekalika.

Baba alikuwa mtu mwema sana Mungu Amrehemu ampatie KAULI thabiti kwenye kaburi lake Ameeni

WATANZANIA tuombe tujue eda tunakaa siku ngapi.
 
Amina mtumishi! Sadaka nilete wapi?
 
Wanaume wengi hawana gubu. Kuna mume wa asha rose migiro, huenda hata hakuna anayemjua, kuna waume wengi wa viongozi wanawake lakini huwa hawajulikani. Kwa kawaida wanaume hawapendi ku walk under a shadow of a woman.
Sema mzee hakuwa na makuu Mungu amlaze mahali pema peponi.
 
HAKIKA HIKI NI KIPINDI KIGUMU KWA KIONGOZI NA FAMILIA YAKE. MWENYEZI MUNGU AMPE NGUVU ATUONGOZE KWA HEKIMA NA UTULIVU. TUNAKUPENDA MAMA YETU. MUNGU AKUBARIKI NA AILAZE ROHO YA MAREHEMU MUME WAKO SEHEMU SALAMA . AMIN πŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…