TANZIA Mume wa Rais Samia, Hafidh Ameir, afariki Dunia

Leo ni sikukuu kubwa. Mzee mzima niko restaurant moja maarufu naburudika nikishangilia target ingawaje imemkosakosa target yenyewe.
 
Ndie baba yake, kifo kimeweka msawazo sana wakati maiti za vijana zimelala pale chini Mwanyamala kwenye morgue iliyojaa hadi kuzidiwa uwezo mkwe na shemeji yake Abdul aliamuru wizara ya afya waseme ni AI.
Ubinaadam tu wa kawaida; kuyasema haya maneno, tena kwenye wakati kama ule...!

Inabidi kujiuliza, hawa kweli ni binaadam, au ni kitu gani hawa!
 
Ubinaadam tu wa kawaida; kuyasema haya maneno, tena kwenye wakati kama ule...!

Inabidi kujiuliza, hawa kweli ni binaadam, au ni kitu gani hawa!


Mkuu kumbukumbu hizi zitaishi walichowafanyia watanganyika hatutawahi kusahau wala kuwasamehe tutakua tunawakumbusha tu nyakati kama hizi nao wakipatwa na huzuni.
 
Mnaandikaga porojo kwamba huyo mzee kafa kisa familia yake ilihusika 29?
Kwamba kabla ya 29 watu walikuwa hawafi?
Au wasingehusika hiyo 29 wasingekufa?
Kifo kipo tu uwe mwema uwe muovu msiwe mnakuza vitu vilivyopo tangu na tangu.
 
Walivyoua Watanganyika mbona hawakutangaza?
Nawaza kuandika kitu kuhusu Msoga connection oops mfupa hauna ulimi kumradhi.
Kula na kupakua kuvuja kwa pakacha shit sijui nawaza vitu gani muda huu.....!
Nipo dukani hapa nanunua bangi.
 
Marehemu Hafidh Ameir Hassan, Mume wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amezikwa jioni ya leo, Septemba 7, 2026, Kizimkazi, Zanzibar.

Watu mbalimbali, wakiwemo Viongozi wa Serikali, Viongozi wa Dini, Wafanyabiashara pamoja na Waombolezaji wengine, wamejitokeza katika mazishi hayo kutoa heshima zao za mwisho kwa Marehemu.

Kifo cha Hafidh Ameir Hassan kilitangazwa mapema asubuhi ya leo na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Deogratius Ndejembi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…