Emanueli misalaba
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 2,975
- 4,082
Kwangu mimi,Kwahiyo CCM, Tlaatlaah Lucas Mwashambwa muelewe siku akifa mlengwa kutakuwa na sherehe kubwa Tanganyika nzima kama mna namna ya kuzuia hiyo sherehe fanyeni sasa kabla Samia hajafa.
Kazi IPOKwenye uislamu anatakiwa akae eda miezi 4, siku 120 ndani bila kutoka toka nje ya nyumba,
Huku akiwa na mavazi ya kuomboleza,
Je ataweza kukaa ndani asitoke kwenda kuhutubia kwa miezi 4?
Kwahiyo mlivyouwa wale 518 mlisema hayo maneno au ndo mkawafukia tuu?Kwangu mimi,
kuishi ni Kristo na kufa ni faida gentleman 🐒
Yawezekana shida ya kiuandishi au hosp ni mpya sanaHospitali ya Mzena kumbe Ina branches Hadi nje mkoa kuzidi ht Muhimbili??? Aiseeh..
Unazua taharukiMume wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, Hafidh Ameir, amefariki Dunia.
Taarifa za kifo cha Hafidh Ameir, zimetangazwa na Makamu wa Rais, Deogratius Ndejembi kupitia Vyombo vya Habari.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Deogratius Ndejembi akitangaza taarifa ya msiba wa Mhe. Hafidh Ameir Hassan ambaye ni mwenza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.
JfAmina mtumishi! Sadaka nilete wapi?
hiyo porojo ni useless gentleman, hakuna haja ya kutafuta kiki kwenye msiba wa wenyewe 🐒Kwahiyo mlivyouwa wale 518 mlisema hayo maneno au ndo mkawafukia tuu?
Hapana mkuu huyu mzee hajatukosea,alikuwa mkimya sanaEe Mungu ahsante kwa matendo yako makuu
Hayo ya kwako halafu hapa hakuna mambo ya kidiniKwa hiyo hawataki tufurahia mzee wetu kwenda kupewa mabikra 1000 na mudi?
Mkosoe kiongozi "constructively" na sio kumtukana wala kumdhalilisha..Sijui kwa nini alioa hilo jini kahaba maushungi
,🤔🤔🤔🤔Sasa tumepata Rais Mjan....e
Tunashangilia mkyndu wako umeozaYaan watu ni wajinga sana unacheka kifo, mume wa rais ni over 70, sasa hapo unashangilia nini
Yeye ni Rais wetu,ni wa SerikaliKwenye uislamu anatakiwa akae eda miezi 4, siku 120 ndani bila kutoka toka nje ya nyumba,
Huku akiwa na mavazi ya kuomboleza,
Je ataweza kukaa ndani asitoke kwenda kuhutubia kwa miezi 4?