TANZIA Mume wa Rais Samia, Hafidh Ameir, afariki Dunia

Hii haimuhusu raisi mkuu,, hii ni kwa wanawake wasio na kazi za kufanya
 
Rais samora wa msumbiji alifariki dunia,mkwe Graca Michael akawa mjane,akaolewa na Rais Nelson Mandela wa Africa ya kusini!

Sasa Tanzania....... ni nini kitatokea kuanzia sasa
Goma lipo wazi hilo changamkia fursa kabla ya mtoto wa Kolomije hajakuzidi kete watoto wa Daslamu mnafeli sana.
 
Kizee kisanii sana kile lazima kitajiliza kuzuga.
 
Ndio anaiwa 1st Gentleman?
May his soul rest in peace.

Poleni Kwa Mke wake, watoto, ndugu, jamaa na marafiki wote kwa msiba huo mzito.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…