Mume wa Raisi mwanamke aitwaje kwa kiingereza?

Mume wa Raisi mwanamke aitwaje kwa kiingereza?

Mkomandaa

Member
Joined
Mar 14, 2011
Posts
58
Reaction score
18
  • Wana J-F. mimi ninajua kiswahili na kiingereza kidogo. Ninajua Raisi akiwa mwnaume mkewe ni 'First Lady' kwa kiingereza. Iwapo Raisi ni mwanamke mumewe ataitwaje kwa kiingereza?
 
Back
Top Bottom