miss strong
JF-Expert Member
- Jul 4, 2012
- 7,012
- 3,700
Kwa jinsi alivyo mwongo, naona asilimia 80 ni chumvi. She can manipulate your mind in ways u cant understand. MUME wa Shamim naye mshamba. Angemtafutia wazee wa kazi wakachape mpaka kashike akili zake.
Jamani mliotukanwa, mtu wenu huyo kajaaa...
Waliotukanwa kina nani tena??? Halafu hayo ya Makamba yameingiaje tena? Mange kiboko...subiri nione hii movie
Hii movie anataka aitengenezee script iuze. Ila kutishiwa bastola sio issue ndogo mazee, Mr. Sembe hapo hakuwa smart. Huyo amem miss tu Makamba, hana lolote. Walotukanwa wengi mnoo, huyo Shamim si ndiye ambaye anaitwa mbwa kila siku?
Weeee unataka uniambie Makamba nae alimpitia???Duuh kama nawaona wakina Naki....ujue hasira inakubamba mpk unajikuta unataka kumtawanyisha mtu ubongo.
Kama hajawahi kusuguliwa kwanini haishi kumfata fata?
Niliwahi kusikia ashapitiwaga....
Duuuuh......mzee wa Shut up law si mchezo.Ila jamaa kama kamtishia kweli basi tutaona ataishianaje.
Inawezekana pia ni move ya hao walioumizwa kwa kusemwa na huyu Mange. Tusubiri 'matukio'
Sitashangaa kama kibao kitamgeukia na kubambikiziwa kesi lukuki.... amegusa maisha ya wakubwa wengi ati.
Ni kina nani hao?
Wadada wa mjini......mzima lakin mkuu?
Huyu hakutakiwa enda mpiga biti, angemlia timing tu sababu ana maadui mengi hata wasingekamata hata mmoja, wangemtoa mguu tu
Kumbe vituo vya polisi ni mali binafsi???? Ndio maana vijana mtaani wanaharibika tu deile... Ila nae ushamba wa kizamani kumtishia mtu bastola ( au ndio hakuna sheria????)
Yaani hata mi nmeshangaa.....unamtolea mtu bastola then what next?kama sio kusumbuana tu.
Jamaa nae sio kabisa