Mume wa shangazi ananitaka kimapenzi, naomba ushauri

Ukimwambia aunt yako anakufukuza leo leo uondoke hapo nyumbani kwake kwa kuhofia kupora mume wake.

Uncle wako ukimpa hatoacha kuendeleza kukutaka kila wakati kwasababu sisi wanaume huwa tunapenda wanawake wanaotujali kwenye kutupa kei kila wakati sio wanaotubania bania.

Amua wewe, unampa au haumpi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chaguo lako tu. Ukiamua kumpa mpe ila ujue Kuna athari zake, penzi halina siri. Ukiamua kumnyima utakuwa umeshinda vita kubwa sana.
 
Mimi nilitongoza dada wa kazi sawa na anko wako hivyo hivyo then akasema live mtu tatu kati japo niliipangua hadi Leo ipo njia panda na kubanwa kote lakini mwanaume usikubali kuweka silaha chini
🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Fanya hivii , mwambie uncle ni sawa unatka tunda mie nipo tayari lkn ni vyema kama utanipangia sehem ili uwe unapata kwa uhuru kuliko hapa maana utasababisha ugomvi kati ya mimi na aunt yangu

Nakupa mbinu mdada
 
Kumbuka kuwa alikuomba umsaidie tatizo lake kama alivokusaidia lako, hapo inabidi umpe na hupaswi kumsema kwa mtu yeyote mana hata yeye wakati anakusaidia hakusema kwa watu
 
Mpe tu, ukikubali kupokea uwe tayari kutoa pia
 
Naomba jina la shule yako ya msingi uliyosoma na jina la mwalimu wako wa Kiswahili. Mwalimu huyo anastahili kupandishwa cheo mara moja maana kwenye somo la uandishi wa insha na matumizi ya Kiswahili sanifu pamoja na alama sahihi za uandishi kaiva sawasawa. Wewe na mwalimu wako hongereni sana! πŸ‘πŸΌπŸ‘πŸΌπŸ‘πŸΌ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…