Mume wa shangazi ananitaka kimapenzi, naomba ushauri

Wewe toka mwanzo huna msimamo ndiomana na uncle naye kagundua udhahifu wako. Hakuna cha kugombana na mkewe wala nini ni tamaa tu na kakuona uko cheap.
Jiandae na mimba nyingine na magonjwa.
Ukiona mtu anaomba ushauri ujue yuko kwenye laini
 
ila Wanawake wana changamoto sana hii dunia, Tena uwe na kamvuto mvuto ujazie jazie.

Lazima useme, Yani Utasemaa Nakwambia Mpka Usemee..

Poleni wadada wote mnaopitia hizi kash kash,kila jaribu lina mlango wake wa kutokea lakini.
 
Hahahaaaa. Duuuh ila wanaume kazi tunayo eti mtu tatu kati.....dadeki dada wa nyumbani akakuumbua bila kupepesa macho, unaweza aibika sana aisee kwa starehe za muda mfupi. Sasa huyo anko naona kazama ukizingatia miaka binti wa miaka 19 itakuwa anampagawisha sana.
 
Kama mwandiko wa darasa la 7 upo hivi, na mtiririko wa mawazo haya??, Basi elimu yetu haina shida Sana.... Na wanaoitangaza wahitimu hadi wa masters hawajui kuandika barua basi ni waongo.
Huyo Anko hawezi kukufukuza hapo hata ukimkatalia Ila Kama utampa mbumbusu basi jua hakuna siri ya mapenzi na iko siku hiyo laana ya kumsaliti shangazi yako itakutafuna. Kama hayuko sawa ameshindwa kwenda mtaa wa fisi au shivazii... Mwambie una ukimwi 🙄
 
Wewe ndiye uliyetengeneza hayo mazingira, toa uroda, haitaondoka na una mtoto
 
Kama moyo wako ungekuwa umepanga kupiga chini ombi la uncle, usingelikuwa umeweka uzi...

Kuweka kwako uzi inaonesha una vijimawazo vya kuachia goli...
 

Huyu si wewe?
Au umebadili jinsia Mkuu?
 

Mpe ale mbususu!
 
Hahahahaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu uandishi siyo wa mtu mwenye kiwango cha elimu iliyotajwa
 
Ushauri mzuri usikilizwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…