Mume Wangu Ametishia Kuniua, Sababu, Urafiki na Mzungu na Kutembelea U-turn

Kwa maneno haya, kama mtoa mdada mshipa wa aibu bado unafanya kazi, akimbie aishie kabisa. Lakini kwa sababu ya ujeuri unaweza ukamkuta bado ana nguvu za kubisha na kuendelea na upumba wake!!!!

Aibu kweli kujiita mfuasi wa u-turn. una mmeo bado unabadilishana simu na mzungu, makalio yangu. kwenda zako, subiri nyie walamba makalio ya wazungu koko
 
Aibu kweli kujiita mfuasi wa u-turn. una mmeo bado unabadilishana simu na mzungu, makalio yangu. kwenda zako, subiri nyie walamba makalio ya wazungu koko

Ningekuwa mi dada wa huyo mumeo nadhani ningemsaidia na kumpa mbinu za kudeal na wewe zaidi!!! Unamfanya kaka watu *****? Ushindwe.......
 
Yuko wapi huyo mzungu tuje kumkaba?we mzungu wa kazi gani? Au na ww ni mzungu? acha kubabaikia rangi za hawa jamaa hawana mpango wala nn,
 
Hii story imepikwa na mtu anayehusika kwenye hilo blog la u -turn na hapa anatafuta na kudodosa kuona wana JF tuta react kivipi. Tumpotezee wala tusipoteze muda na mada hii. Yeye aendeleee tu mzungu wake sisi haituhusu hata kama atalikubali hilo li reject la Ulaya! Daamn Crap!:laser:
 
wa jf kwa memory,ndio wenyewe,ukiteleza tu unakumbushwa
 
wa jf kwa memory,ndio wenyewe,ukiteleza tu unakumbushwa
haswaaa!!!
sasa huyu hajateleza, amekuja humu kuchafua hali ya hewa!!
aende zake akapige U Turn kule kwa Mashosti wake
 
hii marketing ya hii blog hapa babu kubwa kweli, cheap strategy bahati mbaya sikuacha kuchangi alakini tumekushitukia hakuna cha mzungu wala cha mume wangu wala cha nini umeogopa invoice ya matangazo sema umefanikiwa kunifanya mimi niangalie hiyo blog maana sikuwa nimewahi kuiona
 
Nilikiwa sijawahi kuona, kisikia wala kifikiria LD na MR wanaweza wakamshukia vilivyo namna hii . . . . Daah, yaani mmeniacha mdomo wazi.

Kudadadadadadeko, safi sana.
mpendwa wewe kiboko mkuu, bila shaka kichwa chako kina prosesa 8 za kijerumani.

Haya kwako sasa dada Zaya-hayawani-st
(sijui nimuite Allien ammalizie??)

Nothing4Good
Not Enough
Evim
Zionist
. . . .
. . . .
 
Wewe huna lolote kwa jinsi ulivyojiapia hapo mwisho, ni wazi uko tayari kuachana na mumeo na kuolewa na mzungu kila la heri, hivi ukiambiwa mume wako huwa anakutana mahali na rafiki yake na mke wake na pembeni kuna kademu ambako hukaelewi then ukagundua huwa wanawasiliana utaona poa tu ee
 
Inaoneka mujungu kakukaa kichwani unakubl kuvunja mahusiano coz mujungu?au kakuahd visa na passport?Usiache mbachao kwa Msala .............?Anza kumuua wewe kabla hajakuua
 

Mumeo anajua athari za urafiki na huyo mzungu maana nyinyi hamchelewi kukimbilia ma vogue n.k. Ngoja upate kichapo kidogo ili kurudisha heshma home inaelekea hata huyo rafikiyo ni jeuri
 
Mumeo anajua athari za urafiki na huyo mzungu maana nyinyi hamchelewi kukimbilia ma vogue n.k. Ngoja upate kichapo kidogo ili kurudisha heshma home inaelekea hata huyo rafikiyo ni jeuri
Saf sn tena ingekua kure kwe2 mara acngeleta ujinga huo.tena kame shedadia u turn,siachi siachi kaende huko.
 
Wanasema ukiwa muongo usiwe unasahau ulichokisema rejea post zako za nyuma ulivyosema kuhusu UTURN.
 
Nakushauri umsikilize mumeo maana unakoelekea siko. Hiyo blog sijajua ina nini, ila urafiki wako na mzungu, hata na mwanaume yeyote tena hadi kupeana # pasipo sababu za msingi hilo ni kosa. Waweza sema hufanyi lolote ila nakusihi kaa nao mbali hao watu
 
Nadhani baba mwenye nyumba kaona mbali na anajitahidi kunusuru ndoa yake , unless lengo ni kuelekea kwa mzungu la sivyo msikilize mwenzio
 


:lol::lol::lol: tuliza mzuka Klorowkini..afu ee hujarudisha laptop ya watu tu?

Jamani huyu dada akirudi atakuwa na moyo duuh!!pole we
 
Mbona hamna mrejesho??au ndio Zionist katoka nduki baada ya kuona wanamtandao na wanaintelegensia wakimzodoa kwa kauli zake....hii inanikumbusha mada thread flani siku kadhaa mdada flani anatafuta mchumba wa muda akajisahau akapost utumbo mwingine kwamba mume sijui kafanyaje sijui....wanaintelegensia wakamstukia!!haahaaaa JF raha sana.
 
mpendwa perfect, good advice
 
pole na karibu jf na tafuta tiba ya addiction mapema kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…