Mume Wangu Ametishia Kuniua, Sababu, Urafiki na Mzungu na Kutembelea U-turn

Mumeo inabidi akuharibu reception ili Muzungu akaitengeneze. Yaani na ukata huu mumeo kakupamba shukrani wapeleka wa muzungu!!! Una kalaana wewe.
 
Anasema heti nikiendelea kutokumsikiliza ataniua na huyu mzungu, wakati mzungu wa watu hana hatia yoyote? Jmani huu si ni ubaguzi wa rangi? kwa nini anifukuze au kuniua, kisa urafiki na mtu wa rangi tofauti, hii kweli ni haki? mm urafiki na mzungu siachi, na uturn siondoki, huu ni unyanyasaji wa kijinsia[/QUOTE]

Na kama hukuangalia atakuua kweli. Tatizo akisha kukua, utakuwa huna pa kwenda kushitaki, hata humu JF. Ikiwa umeshatimia miaka 18, kisheria tayari umtu mzima, lakini akili zako hazioneshi kuwa umefikia umri huo. Vyovyote viwavyo, una muda mdogo wa kuamua unataka nini, mume au U-turn na wazungu. Ikiwa ni kama ulivyosema kuwa wazungu na U-turn huwawachi NG'O, omba talaka utokomee huko. Ikiwa anayokufanyia mume wako ni unyanyasaji, nenda TAMWA watakusaidia.
 
Roza Mpenzi, tuliza Mzuka Mama
 
tunza ndoa yako huyo mzungu hana ishu.Una bahati ya kupendwa ndo mana ana wivu na wewe
je yeye angekua anakuja na mzungu wa kike wewe ungeaminni ni kawaida tu?????
 
msikilize mumeo usipomsikia kwa hilo hata siku na wewe utakapomwambia hupendi kitu fulani hatakusikiliza. Na kama mumeo hapendi uwasiliane na huyo mzungu wewe unaendelea ya nini?
 
U-turn blog Senior Expert Marketing Executive at work...inabidi ulipie JF
hiyo ya mume na mzungu ni fix ya kujenga hoja isionyeshe unachomaanisha
 
ngoja akuuwe ili ukamshitaki, ungekuwa unajuwa uchungu wa kumegewa usingeomba ushauri. Ungeachana na huyo Mzungu wako.
 
Zionist una hakika mtasha hana hatia,kwani watu kutongozana huwa wanatongozana kivipi? Halafu nahisi huyu mlami kwa mbaaaaaali unaanza kupata hisia flan flan juu yake otherwise usingetumia maneno ya kwenye red hayo.Chunguza kwa umakini hisia zako na uamue katika maisha yako unataka kuelekea wapi.Maisha ni mafupi mama!
 
Huyu anaomba ushauri au amekuja kulalamika?
 
nimebaki mdomo wazi siamini ninachokisoma mbele!!! yaani unaona bora kuendelea urafiki na mzungu na U turn kuliko kumsikiliza mumeo???, nahisi wewe bado umri wako ni mdogo halafu haujui THAMANI YA MUME NA NDOA, na siku utakayojua hiyo thamani ya mumeo utakuwa umechelewa,,utamkosa mzungu,utaikosa U turn na kibaya zaidi hata mume utamkosa...watu wanaomba na kufunga usiku na mchana kupata ndoa wewe unaichezea??!!! acha hizo mdogo wangu tulia,ipende,itunze,ithamini ndoa yako. Najua kuwa siyo lazima ukubali kila asemacho mumeo,,LAKINI katika hili msikilize mumeo na achana kabisa na huyo mzungu pamoja na hiyo U turn....unapokuwa mke au mume wa mtu wanaokutaka/ kukushawishi kimapenzi ni wengi lakin ukiachwa ndugu yangu mmmm!!! haumwoni mtu....ACHA KUIVUNJA NDOA YAKO KWA MIKONO YAKO MWENYEWE....Msikilize mumeo, omba samahani katika hili ili ndoa yenu iwe ya upendo na amani kama kipindi kile mpo honeymoon....




NJIA ATUMIAYO MTU KUPATA UFUMBUZI WA MATATIZO NDIYO KIELELEZO CHA UTU,HEKIMA,NA BUSARA ALIYONAYO.
 
bado mdadiscuss ishu ya huyu mpuuzi....mshenzi kweli huyu,
 
mm urafiki na mzungu siachi, na uturn siondoki, huu ni unyanyasaji wa kijinsia

Bila shaka utakapoachika utaolewa na huyo mzungu au na uturn. Kuna methali inasema "ng'ombe hatambui thamani ya mkia wake mpaka unapokatika"
 
Wewe mtoa mada akili zako umeazima kweli. Ulitegemea mume wako atasema umefanya vyema mkaribishe rafiki yako basi. Hawa wazungu mbona ni machokoraa tu mnahangaika nao wa nini? Tena mume wako kakustahi kweli maana mtu anayetaka kuua huwa hasemi leo usingeyasema haya yote kama angeamua vinginevyo. Tulia akili mukichwa Uturn inawaharibu mtakuja jutia mbele ya safari. Sasa kuwa na rafiki mzungu ndo nini ujiko au ushamba mbona hawa ni watu wa kawaida tu jamani mbona mnashindwa kuelewa?
 
Why are you taking this post seriously? Huyu nimemshtukia anataka kupandisha chart U-Turn kwa kutumia hiyo mada. Kwa ufupi mi naona hii ni story ya kutunga kwani hata ukiisoma vizuri maneno yamepinda mwanzo mwandishi amekuwa mpole mwisho ameonyesha ni jeuri. It is not a natural post, since it reveals two contradicting personalities.
 
Usiivunje ndoa yako eti kisa mzungu na u turn,,,,au haujui thamani ya ndoa??? Haya ndiyo madhara ya kuolewa under 18......ungekuwa umepevuka vizuri kiakili usingetaka kuvunja ndoa yako kwa ajili ya mzungu na u turn....wenzio wanaomba eeh mungu naomba mungu japo hata mume garasa ntalivumilia,,,halafu wewe unataka kuvunja ndoa????.... Acha hizo mdogo wangu,,hivyo vyote vya kupita achana navyo,,,mwombe msamaha mumeo achana na mzungu na u turn ili muifurahie ndoa yenu......pia punguza majibu mabovu kwa mumeo eti huwezi kumwa mzungu ksb hana kosa,,,sasa unataka kusema mumeo ndy ana kosa????....ndoa ina thamani kubwa itunze,ipende, ithamini na uilinde...........naamini umeelewa.....

imeandikwa mwanamke mpumbavu huivunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe na mwelevu huijenga....je wewe upo upande gani hapo????.................
 
yawezekana katumwa kusafisha U turn kupitia jf, kwi kwi kwiii!, Mange anacheki kama bado mmemkinai
 
wewe na huyo mumeo wote malimbukeni!!mzungu ni mtu tu wa kawaida kama nyinyi hapaswi kusujudiwa kama unavyofanya wala kuogopwa kama anavyofanya mumeo.:hatari:
 
wewe bahati yako hujaachwa umekutwa na msg halaf ukarudishwa kwanza mwanamke mwenye adabu vip atpeana namba na mwanaume tu eti shemeji ya rafikiyangu ingekuwa ni mimi usingerudi kwangu ili aku tex vizuri
 
wewe bahati yako hujaachwa umekutwa na msg halaf ukarudishwa kwanza mwanamke mwenye adabu vip atpeana namba na mwanaume tu eti shemeji ya rafikiyangu ingekuwa ni mimi usingerudi kwangu ili aku tex vizuri

huyu ni mwehu kusema kweli nakubaliana na wewe
 
Wakuue tu,kama hutamsikiliza mumeo hata sisi wanajf 2najisumbua nadhan wewe umtafte mume katka U turn.shenz.......,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…