Aache kumpa house girl kazi za usiku, afanye kazi mchana kutwa na usiku pia? Ahakikishe akiingia kulala h'girl nae anaingia kulala manake huyo mumewe anamvizia h'g.
Hahaha! Umeonae, yaan mimi nnavyopenda kulala, huyo jamaa angekuwa ndio h'band wangu sahizi labda wana mtoto na h'gal, ntaachaje kulala nimlinde mtoto wa mwanamke mwenzangu ambae sijui hata kitovu kilitupwa wapi? Huyo jamaa ana lake jambo asee, anasubiri h'gal amalize kazi ili amkague au?lol! ndoa imekua institution sensitive sana aisee. kuna haja ya kuweka burglar alarm kwa mume. kha!
Lol...housegirl wanakuwa house keeper
mwisho wanakuwa the house itself.....lol
niliapa beki tatu ndani ya nyumba yangu marufuku....nsijepata kesi bure
niliapa beki tatu ndani ya nyumba yangu marufuku....nsijepata kesi bure
Ndugu zanguni pamoja na kwamba tunapenda aman kwenye ndoa bado nimeona kuna haja ya somo la ufahamu kuwepo kwenye maisha ya kila siku ya wanandoa...leo nilikuwa na kikao na ndugu fulani mmoja wao akilalamika mumewe amekuwa akiingia kitandani saa tano ama sita wakati yeye amekuwa akiingia saa tatu..baya akaenda mbali kwa kusema amekuwa akisubiri mpaka dada wa nyumban amalize kazi aingie kitandan mwake ndie na yeye unasikia amezima taa.......Ukiwa kama wewe kabla ya kuendelea unalimalizaje hili swala..NBHAKUNA SIKU ALIOMKUTA NA HGIRL WAKIBUSIANA AMA KUFANYA TENDO OVU...KWAKO MWANA MAPENZI WA JF
Huyo mume anabaki mpaka sa sita ili iweje?Simple! Awe anabaki na mume wake mpaka wote waende kulala the same time. Yeye anakimbilia kwenda kulala saa 3 kwa nini, kwani ye mtoto wa shule? Watu wazima mkienda kulala saa 3 watoto walale saa ngapi?
...lol,...mume si mlinzi wa familia? acheni ahakikishe usalama wa nyumba yake bana...
hata mimi nahakikisha usalama kwanza na wote wamekwenda kulala, ndio 'nahodha' naingia kulala!
Simple! Awe anabaki na mume wake mpaka wote waende kulala the same time. Yeye anakimbilia kwenda kulala saa 3 kwa nini, kwani ye mtoto wa shule? Watu wazima mkienda kulala saa 3 watoto walale saa ngapi?
MMnanichosha kila siku kulalamika kuhusu housegirls. as far as am concerned once i get married inshallah i will be different from the rest of y'all complaining about these poor girls. :behindsofa:
Lol, sasa mume akiingia kulala na mkewe hiyo sa 3 na chakula ya usiku si ndio atapata mda huo?saa 12....na hapo analala saa 3 mume hajapata "chakula ya usiku" sasa sijui inakuwaje???housegirl ndo solution iliyobaki:tongue: