Mume wangu ananipa laki 5 kila mwezi mama anadai hazitoshi nirudiane na x wangu

Kwa steji mama yako aliyofikia Hana heshima ya kuitwa mama. Nahisi ungemwambia tu kama avitaka vizuri so aende akawe yeye mchepuko? Maana familia inakukuwadia!
 
mwambie mama yako aende yeye kwa huyo baba mwenye hela badala yako
 
Hivi JF imekuwa clone ya Facebook?
Moderators mtuweke wazi
 
Wewe na mama yako wote malaya kutaka kuishi maisha nje ya uwezo wenu
 
Kaole Sanaa group
 
mama yako kakushauri vizuri sana kaona mbali, dharau mume wako achana nae ikiwezekana omba divorce kisha focus na “Mubaba”

Mimi nilihisi mtu akifika stage aka decide kuolewa/kuingia kwenye ndoa anakua na AKILI kumbe kuna taka taka nazo zinapata access ya kuolewa, imagine huyu ndio awe mama wa watoto wako achana tu na mama mkwe “yani huyu ndio mke wako”
 
Kiukwel inaonyesha nI kwajinsi usivyojitambua wanawake wa ainayenu n keamparenge wanapatikan wee unaish wap??
 
Mama ako bila shaka ni wa 96 huyo na
Inaonyesha hata mamayake anaweza akautaka maan anakuwa tegenezi Kwa mtoto kupitiliza linaweza kuwa ni limshangaz lisilopenda kujishughulisha zaid ya kukodolea macho pesa zawatu wanaozitafuta Kwa mihangaiko
 
Hii ndiyo shaida ya kuoa mwanamke masikini Kwa hamna uko wenu mjitegemee ada mnategemea mume,mama anategemea mume,hapo Kuna tatizo alafu mganga yupo Kongo DC .umwambie mamayake msaidiane kuliwa kama ela ni rahisi kuipata
 


Chai, Hakuna Mama anaweza jadili na mwanae mambo ya X, hivi mbona mmerahisisha maisha hivyo?
 
Mwambie yeye aolewe na huyo mbaba si ni mmama mwenzie wewe akuache na mumeo na na hakika mama yako ni single mother
 
Nyie ndiyo mnafanya vijana waogope kuoa.

Huyo mama yako naye ni shida
 
Pole kwa changamoto. Muulize Mama yako yeye anapewa kiasi gani na mume wake? Na Je anawasaidia ndugu zake?

Ukiachana na ndoa kwa kujali ndugu zako basi ujue umekwishaa. Maana Mama yako ndio mchawi wa ndoa yako.
 
Inaonyesha hata mamayake anaweza akautaka maan anakuwa tegenezi Kwa mtoto kupitiliza linaweza kuwa ni limshangaz lisilopenda kujishughulisha zaid ya kukodolea macho
Sure bado anautumikia
 
hii hadithi bandia hap utapata idiots wengi as usual lakini sio mimi

Kaka tembea uone na kua uyaone. Wewe unafikiri kwa nini wazee wa kitambo binti akipata mimba, anafukuzwa yeye na mama yake. Wee waone hivyo hivyo wanawake
 
Dhambi hulipwa kwa dhambi, endelea kuteseka adhabu ya mateso hujirudia, karma is a bitch, angalia mimba itaondoka na wewe beware, umeolewa na ukaendelea kucheat na hujafurahiq kuhama, Mungu anakutandika hadi ukae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…