Mume wangu hanifikishi kileleni : Ushauri

icetea

Member
Joined
Apr 18, 2014
Posts
17
Reaction score
7
Wana Jf ninaombeni ushauri wenu juu ya hili jambo maana nahitaji kuokoa ndoa yangu.

Mimi na mme wangu tumeoana miaka zaidi ya kumi iliyopita lakini kwa kipindi kirefu sasa performance yake kitandani imedorora.

Kila tukiamua kula tunda yeye anawahi kumaliza na kuniacha mimi nikiwa nasumbuka kitandani bila msaada wowote.

Naumia sana je nifanye nini?

 

Dah! yaani umeamka saa kumi usiku kuandika hivo? au ndio jamaa alikuwa anakula mzigo akachemsha, anyway m-pm MCHUNGUZI HURU akupe ufumbuzi wa hilo.
 
Last edited by a moderator:
Jipe muda wa maandalizi. usimruhusu akuingilia before you are so hot enough.
 
When it comes to that hutakiwi kupaisha mawazo na make sure haingizi mpaka akuchezee useme mwenyewe sasa nataka, jaribu na hiyo.
 
kabla sijasema chochote hivi je! ulishakaa nae kulizungumzia suala hilo?.
 
Wewe mwenyewe umelishughulikiaje hili?
Shame shame
 
Ni vibaya sana kutomfikisha mwanamke kileleni..mm huwa nachanganyikiwa..mwambie atumie katerero
 
kama anamaliza sana jua ana hamu sana na wewe, jaribuni kubadilisha style wewe mkalie juu yeye awe chini hii style inawasaidia wanawake kumwaga haraka. ogopeni chura kafa (mwanamke chin) utaishia kulia kila siku. tokeni apo kitandani nenden bafuni ata jikoni. itakusaidia afu mwambie mmeo aanze kufanya mazoez asiwe analegea tu dk mbili pwaa katua mzigo. hilo tatizo linatatuka ivo usichepuke.
 
Pole sana, ongea naye kwanza kuhusu hiyo ishu nadhani mtapata ufumbuzi. Hilo tatizo lipo juu ya uwezo wenu na mnaweza kulitatua endapo mtalijadili kwa uwazi wewe na mumeo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…