Sasa nani analipia hizo anasa kama sio wewe? Anafuja mali au wote mnafuja mali? Unashinda na mwanamme bar usiku kucha una enjoy kulipia pombe halafu unasema anafuja mali? Wakati anakunywa bia wewe unakunywa nini, Sayona? Hebu acha kutuyeyusha hapa wewe financier wa anasa.yeye hajaajiriwa popote ila naumia maana yeye anafuja mali, mimi nimeajiriwa
Sasa nani analipia hizo anasa kama sio wewe? Anafuja mali au wote mnafuja mali? Unashinda na mwanamme bar usiku kucha una enjoy kulipia pombe halafu unasema anafuja mali? Wakati anakunywa bia wewe unakunywa nini, Sayona? Hebu acha kutuyeyusha hapa wewe financier wa anasa.
Kaka if this was very ok to me believe me you would havent see my post,all i wanted was for an advise from people who understand my situation thats all,and my deep appriciation to all who understood me,Mubarikiwe wote
King'ast asante mamy,ila kuna kitu labda nikuelezelolyz,we undestand ur situation,bt understand better! ukweli ni kwamba kama hafanyi kazi yoyote,acha kumlipia gharama za starehe zake! na umeambiwa ukweli hapo,chukua hatua! hatobadilika unless ameona umuhimu ama sababu ya kubadilika! mpe chakula tu!mengine atajiju,wakati huo fanya maamuzi.sio rahisi,ni ngumu sana lakini u wont get anywhere unless u try to do a thing abt ur situation.pole,i can imagine how frustrating it is
Kama isingekuwa ok kwako usingeshinda bar na bwana unamnunulia mapombe huku umeacha watoto wadogo nyumbani usiku mkubwa. Inabidi mkamatwe, mshitakiwe, mnyang'anywe watoto kwa makosa ya child abuse, child neglect, endangering the welfare of a minor. Mshindwe na mlegee.Kaka if this was very ok to me believe me you would havent see my post,all i wanted was for an advise from people who understand my situation thats all,and my deep appriciation to all who understood me,Mubarikiwe wote