Mume wangu hataki kunyoa nywele za sehemu za siri

Weka picha pls, halafu angalia hali ya uchumi hela ya kununua vifaa vya kunyolea
 
na wewe usinyoe, uweke MSITU, ,,umsumbuwe kutumia tochi wakati wa kugegeda,,JEURI MWENZIE KUSUDI
 
Wewe Mwanamke nakufahamu vizuri, sasa mbona unamvua mumeo nguo na kumwacha Uchi mbele ya Kadamnasi hii ya JF ??. Ulichokifanya, sio fair Kabisa.
 
Mambo mengine sio ya kuyaleta humu jamani duh. Ndoa hazina siri tena siku hizi
 
Jitahidi uwe unatembea na toothpick kuna siku utacheka ukikute umesahau hizo maniaje kwenye meno.
 
Ulivyo na akili mbovu hiyo ndoa mlifungishwa ya mkeka au ndio ulijisogeza mwenyewe??
 
Kama hutaki kumnyoa basi itakubidi ukubaliane na karaha asee
 
Pole sana inavyoonekana mmeo ni mshirikina ndo maana hataki kunyoa.
 
Sasa ww inakuathiri nn wakati dushe linazama?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…