Mume wangu hataki kunyoa nywele za sehemu za siri

dah hizi comments ... jf raha sana
 
Hao ndio wale marasta wenye misamo mkali wana ugomvi na wembe, hapo mpaka kwapa halijawahi kuguswa na nyembe.
 
MSUKE MABUTU ITAPENDEZA ZAIDI
 
Ni rastaman eeh, sisi atunyoagi asee tuvumilie tu kwakwelii
 
Mwambie akuchague wewe na mavuzi yake, uchafu gani huo
 
Hayo ni maua yanayofanya uchi upe
Hayo ni maua yanayofanya uchi upendeze,hayapaswi kunyolewa, labda apunguze. Njoo nikuazime mkasi wa cherehani uyapunguze.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…