Rose1980 JF-Expert Member Joined May 10, 2010 Posts 5,684 Reaction score 1,305 Nov 10, 2010 #21 mmh ntaacha sheria ifate mkondo stamtetea kwa sababu ni mume wang nitamtetea yule asiye na mtetez ....mtoto aliyebakwa sasa km ameanza kubaka nje uko kuna garanteee gan hatakuja kubaka wanangu siku nikienda peramiho kumsalimia nachihauli...??
mmh ntaacha sheria ifate mkondo stamtetea kwa sababu ni mume wang nitamtetea yule asiye na mtetez ....mtoto aliyebakwa sasa km ameanza kubaka nje uko kuna garanteee gan hatakuja kubaka wanangu siku nikienda peramiho kumsalimia nachihauli...??
GFM JF-Expert Member Joined Sep 21, 2010 Posts 706 Reaction score 8 Nov 10, 2010 #22 Wiselady said: Nani wa kulaumiwa sasa? Click to expand... Hakuna lawama hapo naana na wa kiume pia ni watoto ......... au wewe ulikuwa na matazamo mwingine?
Wiselady said: Nani wa kulaumiwa sasa? Click to expand... Hakuna lawama hapo naana na wa kiume pia ni watoto ......... au wewe ulikuwa na matazamo mwingine?