Mumeo nipo hapa acha kupoteza muda njoo hapa

Mumeo nipo hapa acha kupoteza muda njoo hapa

ERIK

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2013
Posts
623
Reaction score
315
Haijalishi tumekutana mtandaoni amini tunaweza kuwa mke na mume endapo tutakubaliana, kupendana, na kuendana

Most of peoples tunakosa Muda mzuri na sehemu nzuri ya kukutana na wenza ambao ni sahihi kulingana na ratiza zetu za maisha (hii ni kwa wanawake na wanaume).

Kama kuna msichana aliye single na anajiamini ana sifa za kuwa mke (wife material) basi naomba PM yako tufahamiane Mungu akipenda tuanzishe familia yetu Tusiendelee kupoteza Muda hapa Duniani.

NB: Wife materail wote mnajijua sina haja ya kuelezea sifa, umri kuanzia 18-28yrs

Mimi nina 33 yrs mengine mengi na ya undani zaidi naomba kwa aliye serious tukutane PM.
 
Back
Top Bottom