Mumewangu ndio chanzo cha mimi kuwa na uhusiano nnje ya ndoa!

Huyo kijana na wewe mnawiana vipi kiumri, je kakuzidi au umemzidi? Kama kakuzidi (??????????????????)

What has age got to do with anything? Issue anayozungumzia Pape chanzo cha yeye kwenda nje ya ndoa ni mume wake. It's not a must mwanamke atafute serengeti boys kama anataka kucheat, kunao wanaopata watu wenye umri mkubwa kuwaliko. Ingawa serengeti boys are better coz they fill the void sexually!
 
Pape, huo ni uzinzi tu huna lolote...na mtakufa tu na ukimwi nyie.
Waacheni wafe tuu kwani si wanalijua hilo...kwa hiyo mwanamke asubiri kuletew, mbona mnapenda kuwaonea wanawake watafutapo haki yao pia. Mbona wanaume mkinyimwa tuu after mnakimbilia na kusingizia hizo small houses. Huu ni wakati wa usawa kwa wote...najua it is not good for all but what should they do. Kila mtu anasuluhu zake za kutatua matatizo yake.
 
tatizo wanawake hamna maamuzi kwenye kutumia zana za kujilinda wakati wa mapenzi na especially mkitoka nje ya ndoa, how come mwanamke uliyeko kwenye ndoa unafanya mapenzi nje ya ndoa bila kutumia kondom, ndio maana tunawalaumu sana nyie, waachieni wanaume tu waendelee kwani wanajua principles za kutoka nje ya ndoa,
 


Fictious
 
hata wanawake wanajua prinsipo za kufanya hivyo nnje ya ndoa! acheni nao wajipe raha huko...mkuki kwa nguruwe eeeh?
 

Can't blame you.
 

Penny siku zote mkuki kwa nguluwe ...
 
Haya mambo yapo mimi nafikiri watu wengine hasa wanaume mnaangalia upande wenu tu. Kuna binadamu asiyetaka furaha na faraja katika moyo wake jamani; sasa yeye kaamua kuwa na wake wapembeni ni vyema na hii inasaidia upande mwingine kupunguza machungu; ingawa ktk ndoa Jino kwa Jino si vyema. Cha kumshauri alichotakiwa fanya kabla ya yote kujua tatizo lake (Mke) lipo wapi, unaweza kuta mume akirudi umevuta mdomo utanataka kugusa kitovu au ndio unaongea mpaka majogoo. Na je mlipooana hujua mumeo ni mlevi? Hawa wajamaa wapo kama watoto saa nyingine yahitaji moyo na uwe jasiri haswa kuweka nao mambo sawa. Je hiyo familia ina watoto? Inakuwaje kama mkileteana maradhi ktk nyumba. Katika hali kidunia condom mtatumia mwanzoni tu ikifika mmezoeana lazima mlane kavu kavu na huyo kijana anajua haswa wewe ni mke wamtu hawezi kukuoa lazima na yeye anakuwa na mwenza wake ambaye watakua na muda ata wa kuspend usiku kucha naye maana am not sure kama wewe waweza usirudi nyumbani kama mumeo. Tembea nje ya ndoa ile muheshimu mumeo si kwamba anatembea nje ya ndoa ndio you wont give a damn about him.
 


Well said Jeni!
 
chana nywele hata kama una kipara
 
hii nayo ngumu hata sijui niseme nini lol.
 
nakumbukaga nilishawahi kuandika hapa kuwa ma best frnd nae alifanyaga haya ili kumaliza machungu ya mr wake kumtenda kila wakati, nae alilowea huko kabisaaa sema yeye alikuwa na relation na mume wa mtu nae mwenye matatizo yake huko kwa mkewe bac wakakutana na kupooza machungu yao,sasa hivi ana mimba kubwa tu na ni ya huyo lizee la nje, lakini hapa mie nawalaumu waume jamani, sasa nyie mkitunyima haki zetu mnataka cc tufanyaje?...na wengine ndio wanapata vishawishi kama hivi....waume wapendeni/wajalini/wapeni haki zao wake zenu.
 

......Yaani hivi vitu vinatokea sana kwenye jamii, hii story uliyoandika wewe hata mie mwenyewe kuna mdada namfahamu na yeye ilikuwa hivyo hivyo.
Tatizo hili jambo akifanya mwanamke anaonekana kama yeye ndio mwenye kosa, kumbe mume anamsahau mkewe hadi mke anaamua na yeye kwenda kuburudika nje.
 
Hivi akina dada kwa nn mnalipiza ubaya kwa uovu? Ukitulia kwani kitumbua kitavunda?
 


huyu frnd wangu mr wake alimsumbua sana tena sana, na alifanya jitihada zote kuinusuru ndoa yake lakini mr alikuwa ndio kama anachchewa vile, kuna cku mr alicndikizwa mpka getini na mwanamke na wife kafungua geti mwanamke ndio anashuka kwnye gari anamuachia mr aingize gari ndani, can u imagine mtu unajickiaje hapo?..mie mpaka nilikuwa nikiona cal yake hivi najua tu ni matatizo, mpaka maamuzi aliyochukua na mr wake atalea mtoto anaendhani ni wake kumbe sio...hakuna wa kumbadilisha akili frnd wangu kwasasa, juzi nilivyokuwa likizo alikuja moshi kuniona na huyo mzee wake, yaani anani introduce bila wac kabisa, na mapenzi moto moto...jamani jamani hiz ndoa zetu cjui tuzifanyaje.
 
Hivi akina dada kwa nn mnalipiza ubaya kwa uovu? Ukitulia kwani kitumbua kitavunda?

mngejua jinc mnavyotuumizaga ucngesema hayo, mie ndio mana nasemaga bac mtu afanye kwa kujiheshimu/kujitambua, sio afanye kama vile ndio anatafuta mchumba wa kuoa, yupo free hajali feelings za mwenzie kabisa, bwana tutaonana wabaya tu mana magonjwa ya wazi wazi hapana...mtumie akili zenu huko kama mnaona ni lazima kukiduana nje ya ndoa zenu vinginevyo bwana mie nitaharibu kabisa, yaani hata akitaka kunirudia ndugu zake wamkalishe chini kumkanya acnirudie.
 

Mtu akisha dhamilia kutenda atatenda tu hata umshauri vp, ni sawa na kumpigia mbuzi gitaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…