Mumewangu ndio chanzo cha mimi kuwa na uhusiano nnje ya ndoa!

I call this a true confession- Haya mambo yanatokea tusibishe na ni kwenye nyumba nyingi tu haya yanatokea hivyo tusibishe kabisa.

Ninayo mifano hai mingi tu ya hili jambo ndo maana nimeona kikae kimya katika hili.

Pole mama nanii wewe ni binadamu kama alivyo mumeo na una feelings kama alizonazo yeye. Hapa mnachofanyiana mnajiumiza wenyewe na mtaishia pabaya. Mkiamua kuwa serious ni kwenu wote kukaa chini na kuombana msamaha baada ya kukiri na muyaache hayo ya nje WOTE wawili MUACHE ( na si wewe peke yako)

La sivyo peaneni divorce ijulikane moja kila mmoja aishi kwa amani na furaha na mtu ampendaye.

Mnapoendelea kuishi nyumba moja wakati mna miaka miwili hamjashirikiana mnawadanganya wanadamu wawaone kama bado ni ndoa hai wakati ilikwishakufa siku nyingi . Kumbukeni MUNGU hadanganyingi wala hahadaiki na hizo tricky zenu so mnaendelea kuchuma dhambi za uzinifu/uasherati tu. Amueni moja.
 
mimi naona wewe kutoka nje ni HULKA YAKO TU!....
watu kibao wana matatizo ya kutosha tu,na hawatoki nje
 
dawa ni moja tu kumtegemea mungu kwanza wakati wa uchumba ili akupatie mtu wako tatizo watu wanatumia akili zao, unaweza kukuta umemvaa mtu kumbe hakuwa wako matokeo yake after time matatizo yanaanza anahaha kumsaka wake, eehh mungu inusuru ndoa hii huyo shetani ashindweee
 

Ngoma droo na ukimwi droo na kifo droona kuwaacha watoto wenu droo
 
kuna mambo mengi katika haya maisha . hii Topic inanishinda hata la kusema zaidi ya kuwaombea hawa wote ili waachana na hayo yote na kuendelea na maisha yao halali ya ndoa
 

People do mistake and when they realise it....... might be too late to catch the moving train.....and thats an awful situation people might not want to experience!

Kwenye ndoa it is either you are in or you are out hakuna ku-compromise
 
Kwa vile hii ni simulizi ya upande mmoja ni vigumu sana kufanya any analysis lakini suala kubwa la kujiuliza ni jee hatua hatua hiyo ndiyo suluhisho la tatizo????
Jee hapo pana ndoa??????
Nyumba ya namna hiyo kwa uhakika haina mapenzi jee athari ya maamuzi yenu na matokeo yake kwa tabia na makuzi ya watoto itakuwaje????
Jee ikitokea nawe mama ukashika mimba ambayo ikashindwa kutoka na ukazaa hali itakuwaje kwako/mumeo/watoto/ndugu na athari zake????
 
Pape sijui PAPA au sijui Papawemba....🙂 Nikuscanie majibu ? Hapa full uhakika kuhusu mambo ya virusi . Nshapima mwenzio....
ogm, sijui orgasm, we scan tu watu wajisafishie macho!
 
................sio bure atakuwa anakutafuna Tigo huyo!!!
 
Pepe, nimeona katika maelezo yako yoooote hakuna hata nukta moja uliyoeleza kuwa ulijaribu kukaa na mumeo ili kuzungumza juu ya tatizo na badala yake uliona kuwa uamuzi ni kuruka na huyo Serengeti Boy, Hivi unawezaje kuwahakikishia wana JF kuwa nawe tabia yako haikuwa hiyo ila tu ulikuwa unasubiria upenyo?????????
 
Mwisho wa siku aliponitamkia kwamba anaomba nimtembelee kwake sikusita kwani niliona ndio wakati mwafaka wa 'kujuana' vizuri! Na mambo yalienda hivyo kama unavyofikiria!
Mwananmke mpumbavu huivunja nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe
 

Nani kakuhakikishia?? Changudoaz c wanawake? Hebu niulize, ukienda kuchukua cd utamkuta hata cku 1 bila condom? Na kama ikibidi umle bila condom anakupandishia dau.. Semeni wenyewe nyie vidume.
Tatizo nyie ni wabinafsi sana. Mnafikiri wanawake hawana feelings. Sa wewe unalala kitanda kimoja na mmkeo for months bila kumpa haki yake!!! Ajifanye na ndizi au? Embu muwe mnawaza mbali kidogo, sio kufikiria haja zenu tu. Hata wanawake nao wana nyege.. Kwa hiyo, kama humtimizii mkeo, we jua tu unasaidiwa, hata kama c obvious. Eti watakufa na ukimwi. Ndio ukimwi upo lakini siku hizi watu wanadunda nao hata for 20+ years. So kama ni watoto watakua tu na by the time wazazi wanakufa watakuwa wameweza kujimudu kimaisha. Nyie wanaume wapendeni na waheshimuni wake zenu. Manake nao ni binadamu tu!! Mwanamke akitoka nje ya ndoa kosa, mwanamme akitoka ni sawa. Kwa hiyo huyo bibie akae tu ndani na nyege zake nani amshushe? Nd'o maana kina Fredy mjamaika na mashamba boy wanafaudu wake zenu alafu mkijua eti mnakuuuja juu!
Badilikeni na nyie....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…