Usisahau kuwa kwenye msafara wa mamba, utawaona kenge, mijusi na vinyonga bila kuwasahau guruguja.
Je ushawahi kuonja radha ya maji ya bahari yalioathirika kwa maji ya mto? Mama zetu ni sawa na maji ya Bahari hawapotezi sifa zao kwa mito michache inayo ingia baharini.