Muna ametua Airport bila maiti ya mwanaye

Ila baba wa mtoto ni mstaarabu sana ingekua hawa wengine pangechimbika.....sasa ndio naamini kwa nini watu wanachinjwa kwa hizi drama za muna mwanaume kama hauna hofu ya Mungu unaweza mkata kichwa hakya nani
 
sitaki kuamini kuwa simjui hata kwa sura tu huyo muna love,mwenye picha yake tafadhali msaada na mimi nimdeku,maana yeye na huo msiba wake wamekuwa maarufu hapa tanzania kuliko mkuu flani hivi...
 
sitaki kuamini kuwa simjui hata kwa sura tu huyo muna love,mwenye picha yake tafadhali msaada na mimi nimdeku,maana yeye na huo msiba wake wamekuwa maarufu hapa tanzania kuliko mkuu flani hivi...
Upo kama mimi, yaani hata kidogo.. na nimeshawishika kufungua hii mada baada ya kuona mada kama tatu humu jf kumuhusu huyo mtu... Ila kiukweli simfahamu wala kumjua kwa sura
 
Huyo mangi itakua nae anashida zke mtu anasema mtoto sio wko,bdo unalumbana nae mwachie msiba wke apambane nao ...huyo mwanamke huo msiba anasiri nao
mangi na yeye anataka kumkomoa Muna.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…