Munalove, salamu zako hizi, kama hutaki potezea

duh hili kaburi mfukuaji wake ni kiboko
 
Kwakweli hiki nacho ni kipaji cha aina yake, kama huu sio muandiko wa Dada wa Taifa basi Tanzania tuna hazina kubwa ya "wachambaji".
 
Huyu muna na hawa mabwana zake wote wanajua suala la kugombea mwana
 
Ewaaaaa......kama unakumbuka Peter na Castor walishawahi kuzichapa kumgombea Muna.
Muna aliogopa kutoa siri kama mtoto wa Castor maana alikuwa ndani ya ndoa na Peter
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…