Munde Tambwe ni nani ?

Mirambo Sec School alianza kusoma mwaka gani hadi kumaliza kusoma?
 
mirambo high school nijuavyo ni shule ya wavulana na lazima uwe umefaulu darasa la saba, huyu mh. hakufaulu darasa la saba na ni mwanamke..
Huo ni utata mwingine aisee, mbona maelezo ya CV yake yanaonesha alisoma Mirambo mwaka 2008 na kumaliza mwaka huo huo?
 
Huo ni utata mwingine aisee, mbona maelezo ya CV yake yanaonesha alisoma Mirambo mwaka 2008 na kumaliza mwaka huo huo?
Mkuu elimu ya mh. huyu ukifuatilia utaumiza macho kama unakata kitunguu.. walikuwa hawana historia ya shule wale wao ni ngoma, ngoma na wao..na aliefanikiwa kufoji elimu ni yeye mwenyewe wengine wala hawana hana na CV.. za nini wakati maisha yanaenda nje ya elimu?!
 
Alimaliza msingi Isike primary na sister angu mwaka 1985, sasa hii elimu ya sekondari 2008! daaaaaah! mtihani alirudia sana basi.
 
Hiyo CV ni utata mtupu.
 
Ndio maana mheshimiwa kairuki kasema awajaguswa wanasiasa lakini kwa maelezo yako mkuu kuna sehemu kunatia shaka(wasi wasi juu ya elimu ya uyu mheshimiwa)
Mkuu mchangiaji aliedadavua mpaka ya muuza mitumba alipotuasa tusijadili elimu yake tujali anajua kusoma na kuandika sikumuelewa sasa ndio nimemuelewa [emoji3]
 
Nimepata kigugumizi apo kwenye milambo secondary au alifanya kama private milambo ni boys tup nimesoma apo
 
Kwanini Wabunge wengi wa ccm toka wakati wa Kikwete wanashukiwa kuwa ni wauza madawa ya kulevya? Toka enzi ya marehu Amina Chifupa, wabunge wa ccm wanashukiwa kuwa wauzaji wa haya madawa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…