Munduli: Msimamizi wa Uchaguzi Hawakimbia mawakala wa Chadema bila kuwapisha na kuzima simu ofisini kwake leo

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2015
Posts
14,242
Reaction score
34,903
Msimamizi wa uchaguzi Jimbo la Monduli amegoma kuwaapisha mawakala wa Chadema waliowasilishwa na chama kwake ili kuziba nafasi ya mawakala waliokamatwa, kutekwa na wengine kurubuniwa na ccm hivyo kujitoa.
Msimamizi huyo amewaweka mawakala hao toka Saa nane mchana na ilipofika Saa mbili o nusu usiku akatoroka na kuzima simu zote.
Inasikitisha Sana kwamba chaguzi zinaitishwa lkn hazisimamiwi kwa mujibu wa sheria. Tunaendelea kumtafuta huku tukichukua hatua zingine.

Yonas Masiaya
Mgombea Ubunge Monduli.
 
Tumeshazoea... Hizo mbinu zinatumika kila wakati kwenye Uchaguzi. Poleni sana!
 
Hawa wakurugenzi pamoja na hao wanaowatuma wanapaswa kuchomwa moto hadharani maana hawana tofauti na vibaka wa mtaani, hawa wakurugenzi na mabosi zao wanaowatuma ni vibaka wa hak na uhuru wa raia
 
kila siku tunalalamika tunalalamika ni kwanini tusiamue sasa?
mwisho wa siku mazoea ujenga tabia.
 
Back
Top Bottom