Mungu abariki kazi za mikono yenu

Mungu abariki kazi za mikono yenu

Wakuu muwe na siku njema yenye mafanikio.Mungu awafungulie Milango ya Baraka.
Chochote mtakachokifanya kikafanikiwe zaidi.
Kipenzi chetu Imam Hussein aliuwawa kikatili sana Karbala ili kulinda na kuutetea uislamu. Nasi Allah katupa Tawfiq. Lakini cha kuhuzunisha Sunni hawamuenzi Imam wetu wanamdhihaki kumtukana nakutudhihaki.

Allah mwenyez Mungu mwingi wa rehma ampe qaul thabeet kipenzi chetu Imam.
 
Huwa unatumia vinjwaji gani ? Mtu akishakufa hakuna cha kauli wala nini.
 
Back
Top Bottom