Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 8,611
- 16,118
Ukisoma kitabu Cha Daniel 2:1-48, utaona mfalme Nebuchardnezzer alivyoota ndoto ngumu Sana akawshindwa kuitafsiri mwenyewe.Akalazimika kumtafuta mtu atakayeitafsiri ile ndoto kea ufasaha na kuahidi kumpa zawadi na mamlaka.
Daniel alimuomba Mungu aweze kumfafanulia ile ndoto Ili naye akaweze kuitafsiri kwa ajili ya mfalme Nebuchardnezzer ndo angalau aepuke mateso na adhabu Kali kutoka kwa mfalme.
Ndipo Mungu alipoamua kuihamisha ile ndoto Moja kwa Moja kutoka kwa mfalme Nebuchardnezzer Hadi kwake Daniel ili aweze kumtafsiria mfalme.
Kwahyo Mungu alilazimika kuunda " Bluetooth" 2 kwa upande wa mfalme na upande wake Daniel ili aweze kuihamisha ile ndoto Moja kwa Moja[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwahyo itoshe kusema kwamba technology ya Bluetooth ilianzishwa( invented) na Mungu ndo binadamu wakaja kuicopy baadae na kutengeneza kwenye simu,redio na vinginevyo.